Ndiyo maana wewe unakuwa nao wengi as a buffer ya kutoelemea sehemu moja?Mapenzi yakizidi sana yanakera
Hapa umenena kaka mahusiano kila siku wewe ni wa kwanza mahusiano ganiJaribu kuacha kumtafuta sana na yeye aku miss.
Sasa wewe mtu kabla hajakumiss unamtafutatafuta kila siku.
Kwani wewe huna cha kufanya zaidi ya kumtafuta hiyo mtu?
Lazima atakuchoka tu.
Mbona mimi namtafuta Seran kila saa saa na silalamiki wala nini😂Hapa umenena kaka mahusiano kila siku wewe ni wa kwanza mahusiano gani
Ajaribu kuacha kumtafuta aone
Kama anapendwa itakua zamu yake kutafutwa
Ila kama alikua hapendwi mahusiano ndiyo yameisha hivyo maana hatotafutwa na bora ajue nafasi yake mapema ajikatae
Mambo ya kuwa unapigiwa simu na kuulizwa umekula nini, umelalaje, sijaona status, yanakera sana.Ndiyo maana wewe unakuwa nao wengi as a buffer ya kutoelemea sehemu moja?
Sasa utamlalamikia nani kwa mfano 😅😅 tuliaaa
😀😀😀 ila kunae mmoja lazima akikaa kimya lazima umwulize kuna shida?Mambo ya kuwa unapigiwa simu na kuulizwa umekula nini, umelalaje, sijaona status, yanakera sana.
Tatizo hawezi kujizuia.Hapa umenena kaka mahusiano kila siku wewe ni wa kwanza mahusiano gani
Ajaribu kuacha kumtafuta aone
Kama anapendwa itakua zamu yake kutafutwa
Ila kama alikua hapendwi mahusiano ndiyo yameisha hivyo maana hatotafutwa na bora ajue nafasi yake mapema ajikatae
Pole sana anaonekana ni mbinafsi roho mbaya mpumbavu sana huyo mpenzi wako
Ni vizuri kupeana nafasi, ili penzi liweze kudumu.😀😀😀 ila kunae mmoja lazima akikaa kimya lazima umwulize kuna shida?
Kuna vitu havielezeki sio😅😅Tatizo hawezi kujizuia.
Famasiala 😂😂😂
Okay bro😂😂 Dec ifike tu haraka nimuoe tu huyu mwanamke naanze kumuoa kila siku good morning to good night
Cc Seran
Jishughulishe tafuta pesa, mama mzima unawaza mapenzi mchana? Acha ulimbukeni we ni mtu mzima sasa, acha kuwaza umalaya kupenda kutombwatombwa!Kuna kitu kinaniumiza sana kwenye mahusiano yangu, lakini sijui kama mimi ndiye ninayefikiria sana au kweli kuna tatizo.
Mpenzi wangu siku hizi hanipi muda kabisa. Nikimpigia simu mara nyingi anasema yupo busy. Nikimtumia ujumbe anaweza kunijibu baada ya muda mrefu sana, wakati mwingine hata siku nzima inapita bila kuongea naye vizuri.
Kinachonichanganya zaidi ni kwamba nikifungua WhatsApp namkuta online. Anaonekana kupost status, kuangalia status za watu na wakati mwingine anaonekana kwenye mitandao kwa muda mrefu.
Nikijiuliza, kama ana muda wa kuwa online, kwa nini hana hata dakika chache za kuongea na mimi?
Nimejaribu kumuuliza kama kuna tatizo au kama amechoka na mimi, lakini ananiambia sina sababu ya kuwa na mashaka na kwamba ana mambo mengi ya kufanya.
Lakini ukweli ni kwamba nimeanza kujisikia kama sina umuhimu tena kwake.
Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba zamani alikuwa mtu wa kunitafuta. Angeuliza nimeamkaje, nimefika salama au siku yangu imekwendaje. Sasa mimi ndiye ninayelazimika kuanzisha mazungumzo karibu kila mara.
Sijui kama mapenzi yamepungua au labda nimekuwa nikimlazimisha mtu ambaye tayari ameshaanza kuniacha moyoni.
Nimefika mahali najiuliza kama niache kumtafuta kabisa nione kama atanisikia au atanitafuta mwenyewe.
Kama ungekuwa kwenye nafasi yangu, ungefanya nini? Ungeendelea kumtafuta, ungekaa kimya mpaka yeye akufuate, au ungeamua kuachana?
View attachment 3654176
Lioneni malaya linginePole sana anaonekana ni mbinafsi roho mbaya mpumbavu sana huyo mpenzi wako