Daah!mkuu bangi kitu ingine ipo siku atakuja kukufanya kitu cha ajabu humo ndani,chamsingi mkataze na mueleze madhara yake asipokuelewa mchonganishie police alafu akae lockup hata siku tatu akitoka hata thubutu.
Some women wanakuwag so sexy wakivuta
Some women wanakuwag so sexy wakivuta
Haha mkuu njoo mi taa ya tabata aroma ntakuonjesha abadani.
Gudi, bi a gudi waifu end maza starehe yetu isiathiri watoto na wanandoa wetu!!!!
Nnachojiuliza hivi kwa maneno tu anaweza kurekebika au kuna kitu natakiwa nifanye.
Na ingekua na madhara huko jamaika sijui watu wake wangefananaje,tatizo watu washajijengea hulka ya kua bangi ni mbaya,gushi siach ng'ooooo,ina rahaaaa yake atii!Ni kweli my dia bangi haina madhara, na huyo demu kuvuta ni jambo la kawaida sn so jamaa achukulie poa tu watu tuna miaka 13 kwenye gemu since primary school hadi leo tupo hapa na hamna effects zozote.
Sijaona madhara ya weed hadi sasa
............... juzi nikamuuliza kama anatumia bangi,bahati nzuri hakua na ubisha alikubali,anasema bangi anayovuta haina matatizo yoyote kwake eti ni starehe tu kama mimi.......
Najua yupo jamii forum na najua atausoma huu uzi na najua ataanzisha mtiti mwingine, poa tu mi natafuta ushauri tu.
hahahahah yewoooooo chineke mwache tu atakapokuwa chizi ndo mapenzi kunoga
Kama yepi maamuzi ya hovyo???!!!Maamuzi ya wavuta bangi huwa ni ya ovyo na ya kushtukiza, demu wako anaweza akakaa hata miaka mitano upo sawa ila ipo siku moja ataamua kitu utatamani usingezaliwa! Mpeleke kitengo cha madawa ya kulevya mwananyamala hosp watampa tiba sahihi.
Mkuu unamaanisha nitengeneze ganja smoking room sio?uoni kma ntakua namuhamasisha.?
Familia yangu ndio kila kitu kwangu,majukumu ya mama yapo palepale,msuba wenyewe sivuti daily,zaidi wk end tu basi,
aaaah wapi,ww wasema,mtu akifanya upumbavu ni kwa sababu na yy ni m.pu.mba.vu!na c bangi,mangapi tunashuhudia ya ajabu yanafanyika wanaofanya wanakua wamebangika?acha hizo hahaa!Maamuzi ya wavuta bangi huwa ni ya ovyo na ya kushtukiza, demu wako anaweza akakaa hata miaka mitano upo sawa ila ipo siku moja ataamua kitu utatamani usingezaliwa! Mpeleke kitengo cha madawa ya kulevya mwananyamala hosp watampa tiba sahihi.
Sasa unataka akavute kwenye magetto ya watu wengine? kumbana asivute hauwezi mkuu, mwekee mazingira, muoneshe km unajali unachokitaka humpingi lakini hapo hapo unatumia busara kumshawishi aache taratibu, akija kuacha hilo getto unapabadilisha unaweka kama library au stoo au vovote unavopenda. Tumia busara sana kwa mwanamke, hawa jamii yao ya ajabu sana, utampoteza shauri yako, ila kama yakikushinda chapa lapa tafuta mwingine, lakini kama unampenda huo ndo ushauri.