Kwani mkuu pombe inaondoa upurity wa mtu?bange sio nzuri mkuu nadhani ilo halina ubishi.
Ila mambo ya kulipuliza home wageni wakija nyumba yote bange duh afanye maamuzi magum mbona mademu wapo ambao hawavuti? Wabangi acha aende kwa wabangi
Mkuu kwa style hii ndo maana watu wanaoa wake za watu..wake za watu nikaanusha unamuoa mwanake ambaye t was not meant to be..kumbuka huyu sio kwamba anatabia mbaya nyngne tofaut na hii ya kuvuta bangi,woga wangu ni asije kunibadilikia uko mbeleni.
Mwanamke na bangi?...mungu aniepushie mbali.
si umeshaoa na havuti bangi tayari umeshaepushwa
MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana
Nadhani umeelewa kilichomharibu!
mmhhhhhhh!acha uongo khaaaaaaa!
uliza usimuliwe sio kubisha tu naongea kitu nilishuhudia mimi mwenyew ninaposema majuz sijamanisha et juz jumanne ni miez kadhaa imepita na huyo mama ni jirani kabisaaaaa.....
Uelewa mkuu, uelewa. Watu wamelishwa maneno na wababiloni!
MAHOndwa, acha umbea mwanaume nko kijenge sa hv acha hizo, acha kuchafua mtaa kias kwamba tukipita sehemu tunuke ladha ya bhang, umeniudhi sana
Watu wanaona bora kuvuta sigara kuliko bangi!!
Kuna posta nmeipitia jukwaa la siasa wanasema mwanasheria mkuu alitaka kumpiga kafulira jana na comment nyingi katika hiyo post ni kua mwanasheria mkuu tatizo lake anavuta bangi.mkuu huon kama bangi bado inasifa mbaya kwenye jamiiUlishasikia mtu ana overdose na bangi? Bangu unavuta, unacheka, unakuwa chill, unalala. Pombe vurugu tu. Bora niwe na mtu mvuta bangi kuliko mlevi.
kwa hiyo maza wa watu wakambaka HADHARANI na watu wanapita tu, ilikuwa mitaa gani hiyo mkuu?
Nimependa boga halafu nione mauwa niyafungulia thread JF?!!!!....hapo mi ndiyo nakufa nyag'anyang'a!
HMS is really something Mkuu. Nimependa ushauri wake.
Most of foreign substance to our normal body system isnt advised, albeit we use them responsibly. Kama alivyosema HMS mtu mzima mara nyingi harejeshwi na ukali, bali kwa upole, kuchukuliana na kujali. Tunapotumia ukali tunawafanya tu wawe wasamaria mbele ya macho yetu ila tukiwa hatupo... ni BALAA......ndio wnafungulia mbwa kwa spidi kali zaidi maana anajua ana muda mfupi kabla hujarejea so he/she make the most of it. ukirejeee unamkuta mpoleeeeeee kumbe kimoyomoyo anakung'ong'a. Ukali tunau-capitalize kwenye baadhi ya ishu strategically vinginevyo ukiwa laini laini kwa hii jinsia mtu mzima utachezewa sharubu yakheee!!!