Mpenzi wangu anataka tufanye kinyume na maumbile

Jamani niwashirikishe kituko kilichonitokea siku za hivi karibuni. Nina dada mmoja niko na mahusiano naye kwa miaka miwili iliyopita. Siku za hivi karibuni amekuwa akiniomba tufanye mapenzi kinyume na maumbile-anataka nimfanye nyuma.

Hicho kitu mimi sijawahi kufanya, lakini pia sijisikii kuwa salama na safi kwa kitendo hicho, kwa hiyo mara zote nimekuwa nikimkatalia. ghafla baada ya kukataa namuona mwenzangu hanijali tena, amekuwa mkali ananifokea kwa kitu kidogo tu.mara aniambie ataenda kufanywa na watu wengine. sasa sijui niachie ngazi tu, lakini ni mzuri huwezi amini
 
Hizi zitakuw effect za bba videos tu...hii nimewahi kuona inanitokea demu kupew awatch xxvideos basi kaona nigga inapangus bigass basi kadai anataka naye atest hivyo...mi nashauri mnaopenda kucheki hizi video mkiwa na madem au wake zenu jitahidni zisiwe za hardcore ass..!!wanwake wanapend kile wanachokiona kw wanawake wenzie wakijaribu.
 
Asha fanywa nyuma ndomana anataka tukio lijirudie., ushaur wangu achana naye asikuletee nyeusi
 
Mkemee ktk jina la yesu ashindweeeee!
kama vp achana, naye au uko tiyari kafanya hiyo dhambi kisa ni mzr?
 
Jamani niwashirikishe kituko kilichonitokea siku za hivi karibuni. Nina dada mmoja niko na mahusiano naye kwa miaka miwili iliyopita. Siku za hivi karibuni amekuwa akiniomba tufanye mapenzi kinyume na maumbile-anataka nimfanye nyuma.

Hicho kitu mimi sijawahi kufanya, lakini pia sijisikii kuwa salama na safi kwa kitendo hicho, kwa hiyo mara zote nimekuwa nikimkatalia. ghafla baada ya kukataa namuona mwenzangu hanijali tena, amekuwa mkali ananifokea kwa kitu kidogo tu.mara aniambie ataenda kufanywa na watu wengine. sasa sijui niachie ngazi tu, lakini ni mzuri huwezi amini
Mpe raha mwenziooo, ashazoeshwa huko kabla sasa awashwa afanywe na nani? Alaaaa
 
Hata akimuuliza haitasaidia. Huyo anachotaka nikupigwa tu.
Nahic alikuwa anapigwa huko nje ila mpigaji lbd kasafiri. Km aliweza kuvumilia miaka 2 inakuwaje anataka leo?
Hebu na ww jiulize
\Hili nalo ni swali la Msingi kwakweli., itakuwa kipindi cha miaka 2 wakati wewe unafanya sehemu husika kuna mtu alikuwa anakusaidai, sasa labda huyo mtu wameachana au hayupo ndo shida anataka wakumpa hana...ACHANA NAE, HAKUFAI, Sijui mwanamke kama huyo anaringia nini sasa mana hana thamani tena.
 
Kinyume ndio nini? yaani mnageukiana migongo?? sasa ndio raha gani sasa?? dauh!! amakweli duniani kuna mambo
 
Back
Top Bottom