Mpenzi wangu anapenda sana pesa

Mpenzi wangu anapenda sana pesa

Kama anapenda Sana pesa Basi tafuta Sana pesa ili umpe pesa. Ukishindwa, achia wenye pesa.

"Don't get too serious with life, we shall all die someday"

#from the Dr's desk
Nimefahamiana nae miaka 9 iliyopita, wakati nafahamiana naye alikuwa na ugomvi na mchumba wake kuwa mchumba wake amezaa nje. Ni yeye alinipenda baada ya kuniona, ilikuwa kwenye social function fulani, mimi nilimuona but sikumuwazia kimapenzi wala kumuweka kichwani.

Baadae akapata mawasiliano yangu sababu kuna mtu nafahamiana naye alimpa namba zangu. Alinitega ofcourse ni mzuri kidizain na kutokana na kuwa na lifestyle la kishua by then mimi nimechoka nikaona kama zali la mentali kumpata. Nikiri wazi hajawahi kunipa hata elfu 1, but niliona zali kutokana na quality yake wakati huo hata kumiliki elfu 50 kwangu ni issue.

Sasa ikafika mahali akapata ujauzito wangu, hakutaka kuniambia but alijihudumia mwanzo mwisho mpaka siku anajifungua, niligundua mjamzito sababu nilikaa muda mrefu bila kuonana naye kutokana na nature ya majukumu yangu. Amehudumia mtoto kwa sehemu kubwa yeye.

Kuna kipindi nilijibana nikamtumia milioni mbili azifanyie biashara but mpaka leo sijapata faida hata mia, makubaliano ilikuwa tugawane faida, mtaji asiule, akakubali.

Suala ni kuwa huyu bidada amepanga mjini sasa hivi atleast ninajiweza kidogo, sema anataka nimgharamie mimi kila kitu, kodi ya nyumba, bili za umeme na maji, nimjengee, nimnunulie gari, akiugua nimtibishe, nisaidie ndugu zake n.k.

Mpaka sasa hivi nikigusia mtaji niliompa azungushe tunaanza ugomvi anasema kwanini naumizwa na hela alokula yeye na mwanangu, pia alipopanga ana ndugu zake kibao.

Nilikuwa nampenda sana zamani but nimemchoka kwa vizinga na ana maisha fulani classic anataka gharama nizilipe mimi.

Ushauri wenu wanakuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pambana au amua kadri akili yako inavyotaka. wamo kibao ndoani yanawakuta. matatizo ya aina yako.

wakizikosa wanazipokea kutoka kwa wafadhiri wanaowajua wao, ukijitutumua kuhoji utaambiwa nimetumiwa na kaka au baba!!! kwani una jingine ka kuongeza mkuu, maana alizoea maisha ya kitajiri kwao, inabidi tu uzoee au utunishe misuli uozee jela maana ai kwa wingi wa asasi za kupigania haki zao bali tulibebeshwa balaa!

lini nitasahau

'usinibabaishe, hivi unionavyo natongozwa na wenye magari yao na wenye pesa zao'

wakati huo sina hata uwezo wa kumiliki hata phoenix ya 100,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
bado uko nae mkuu?!...
 
dogo kubwa,
sikiliza mkuu mweke chini muongee kama hataki chukua mtoto wako ili asiweke mambo yake ya kijinga kwako. kama atakuwa tayari kubadilisha aina ya maisha basi mtayapnga mambo fresh
Usikute hata mtoto mwenyewe sio wake , huyo ni wale wanawake wanao panga mjin wakitegemea wahudumiwe unakuta anawanaume kibao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom