October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Ni vyema kukaa chini mkaongea
Jiulize kwanini akufiche Mimba!!??? Yaani unakuja kujua mtoto kashajifungua? Nina hakika huyo mtoto huenda sio wako kwa 98%

Cha msingi piga chini huyoo Kaka atakusumbua mbeleniduh bila shaka huo ni mkopo sijawahi kuona fake life kama hiyo ushauri kabla hujamuacha mwambie ukweli na kama atapingana na wewe basi fanya mkopo uishie hapoNimefahamiana nae miaka 9 iliyopita, wakati nafahamiana naye alikuwa na ugomvi na mchumba wake kuwa mchumba wake amezaa nje. Ni yeye alinipenda baada ya kuniona, ilikuwa kwenye social function fulani, mimi nilimuona but sikumuwazia kimapenzi wala kumuweka kichwani.
Baadae akapata mawasiliano yangu sababu kuna mtu nafahamiana naye alimpa namba zangu. Alinitega ofcourse ni mzuri kidizain na kutokana na kuwa na lifestyle la kishua by then mimi nimechoka nikaona kama zali la mentali kumpata. Nikiri wazi hajawahi kunipa hata elfu 1, but niliona zali kutokana na quality yake wakati huo hata kumiliki elfu 50 kwangu ni issue.
Sasa ikafika mahali akapata ujauzito wangu, hakutaka kuniambia but alijihudumia mwanzo mwisho mpaka siku anajifungua, niligundua mjamzito sababu nilikaa muda mrefu bila kuonana naye kutokana na nature ya majukumu yangu. Amehudumia mtoto kwa sehemu kubwa yeye.
Kuna kipindi nilijibana nikamtumia milioni mbili azifanyie biashara but mpaka leo sijapata faida hata mia, makubaliano ilikuwa tugawane faida, mtaji asiule, akakubali.
Suala ni kuwa huyu bidada amepanga mjini sasa hivi atleast ninajiweza kidogo, sema anataka nimgharamie mimi kila kitu, kodi ya nyumba, bili za umeme na maji, nimjengee, nimnunulie gari, akiugua nimtibishe, nisaidie ndugu zake n.k.
Mpaka sasa hivi nikigusia mtaji niliompa azungushe tunaanza ugomvi anasema kwanini naumizwa na hela alokula yeye na mwanangu, pia alipopanga ana ndugu zake kibao.
Nilikuwa nampenda sana zamani but nimemchoka kwa vizinga na ana maisha fulani classic anataka gharama nizilipe mimi.
Ushauri wenu wanakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuuMakosa ya kiufundi yalianzia hapa ulipompa mtaji ndipo ulipo haribu mkuu![]()
Cha msingi piga chini huyoo Kaka atakusumbua mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
you are right mkuu,dogo kubwa,
Mambo kama hayo hayana ushauri, wewe uliingia kichwakichwa ukadhani umefika mwenzio alikuwa na longterm plan sasa pambana kumrekebisha tabia kama vipi muowe ili muishi pamoja na ndugu zake wapambane na hali zao
sio kihivyo mkuu
thanks kwa ushauri mkuu, but huyu sio wa kuoa aisee, anapenda kufananisha maisha ya marafiki zake na yeye, so akisikia raafiki yake kapewa hiki na mpenzi wake, yeye anapanic lawama kwangu kama zote, than kwake kufanya kazi anaona hastahili, anastahili apewe kila kitu na mimi, ye ashinde amelala, while hata mama yangu mzazi mpaka leo anafight bado, then mtoto akiugua ananilalamikia kinoma as if anateseka na mtoto peke yake, kimbembe kinakuja nikimuuliza zile MILION 2 za mtaji mahesabu yako wapi, anasema kwanini naumizwa na hela iliyoliwa na yeyey na mwanangu, anasaema nikiulizia hela ni dalili kuwa simpendi, but makubaliano ya hela ilikuwa ni biashara faida tugawane sio ya kuila,Jiulize kwanini akufiche Mimba!!??? Yaani unakuja kujua mtoto kashajifungua? Nina hakika huyo mtoto huenda sio wako kwa 98%
Mpe helaaaNimefahamiana nae miaka 9 iliyopita, wakati nafahamiana naye alikuwa na ugomvi na mchumba wake kuwa mchumba wake amezaa nje. Ni yeye alinipenda baada ya kuniona, ilikuwa kwenye social function fulani, mimi nilimuona but sikumuwazia kimapenzi wala kumuweka kichwani.
Baadae akapata mawasiliano yangu sababu kuna mtu nafahamiana naye alimpa namba zangu. Alinitega ofcourse ni mzuri kidizain na kutokana na kuwa na lifestyle la kishua by then mimi nimechoka nikaona kama zali la mentali kumpata. Nikiri wazi hajawahi kunipa hata elfu 1, but niliona zali kutokana na quality yake wakati huo hata kumiliki elfu 50 kwangu ni issue.
Sasa ikafika mahali akapata ujauzito wangu, hakutaka kuniambia but alijihudumia mwanzo mwisho mpaka siku anajifungua, niligundua mjamzito sababu nilikaa muda mrefu bila kuonana naye kutokana na nature ya majukumu yangu. Amehudumia mtoto kwa sehemu kubwa yeye.
Kuna kipindi nilijibana nikamtumia milioni mbili azifanyie biashara but mpaka leo sijapata faida hata mia, makubaliano ilikuwa tugawane faida, mtaji asiule, akakubali.
Suala ni kuwa huyu bidada amepanga mjini sasa hivi atleast ninajiweza kidogo, sema anataka nimgharamie mimi kila kitu, kodi ya nyumba, bili za umeme na maji, nimjengee, nimnunulie gari, akiugua nimtibishe, nisaidie ndugu zake n.k.
Mpaka sasa hivi nikigusia mtaji niliompa azungushe tunaanza ugomvi anasema kwanini naumizwa na hela alokula yeye na mwanangu, pia alipopanga ana ndugu zake kibao.
Nilikuwa nampenda sana zamani but nimemchoka kwa vizinga na ana maisha fulani classic anataka gharama nizilipe mimi.
Ushauri wenu wanakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
thanks kwa ushauri mkuu, but huyu sio wa kuoa aisee, anapenda kufananisha maisha ya marafiki zake na yeye, so akisikia raafiki yake kapewa hiki na mpenzi wake, yeye anapanic lawama kwangu kama zote, than kwake kufanya kazi anaona hastahili, anastahili apewe kila kitu na mimi, ye ashinde amelala, while hata mama yangu mzazi mpaka leo anafight bado, then mtoto akiugua ananilalamikia kinoma as if anateseka na mtoto peke yake, kimbembe kinakuja nikimuuliza zile MILION 2 za mtaji mahesabu yako wapi, anasema kwanini naumizwa na hela iliyoliwa na yeyey na mwanangu, anasaema nikiulizia hela ni dalili kuwa simpendi, but makubaliano ya hela ilikuwa ni biashara faida tugawane sio ya kuila,