Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nina mpenz wangu ambaye tunapendana sana na tunatarajia kuoana lakini yeye ni mkubwa kwangu, je hili linawezekana kwa kuwa na mke anaekuzidi umri.
Ushauri wenu wakuu!
Kuoa mwanamke aliyekuzidi sana umri kwa mwanaume nisawa na kuoa mwanamke anayeelekea kulingana na mama yake. Hivyo hata kwa mwanamke mwenye kutafakari kutosha atajisikia kama anahusiana na mwanake badala ya mpenzie hata kama hajazaa.