Mpenzi Wangu Ananiumiza kichwa....!!

Ha ha haaah!! Mia....
 
usisahau kumpelekea na big G na lambalamba za bakhresa,kazi unayo,heri yangu ninayejipendea minungayembe kina kongosho wala haisumbui.

Mbona huyo hajakuumiza kichwa ningekuwa mimi mbona ungelea viungo vyote
 
Best Katavi usinilazimishe kukuwekea dhamana mahakamani kwa ajili ya madenti, tafuta jimama kama Kongosho la kukukopesha kwa huduma bomba ambazo wewe mwenyewe utajikuta ukirudisha mara 10 ya ulivyohumiwa.
 
Last edited by a moderator:

TaiJike nitafanya hivyo maana naona wengi wananishauri nichukue mijimama, lakini Kongosho hapana!
 
Unamuogopa kwa kuwa anazo mbili au? unajua akikupa huduma ya laki5 itabidi ukatafute 2m ili nawe umridhishe.
 
Pole sana kwa kuwa ATM, achana na wanafunzi,haijalishi msingi,sekondari au chuo maana wote akili zao ni sawa. Jaribu kutulia na kumtafuta mwenye view ya mbele,wanafunzi wengi ni take away( give something take something) bila kujua hali yako ikoje
 
Best Katavi usinilazimishe kukuwekea dhamana mahakamani kwa ajili ya madenti, tafuta jimama kama Kongosho la kukukopesha kwa huduma bomba ambazo wewe mwenyewe utajikuta ukirudisha mara 10 ya ulivyohumiwa.

He he he, ataniwezea wapi huyu, kazoea vianafunzi.

TaiJike nitafanya hivyo maana naona wengi wananishauri nichukue mijimama, lakini Kongosho hapana!

Hivi wewe unajua hata abcd za kula? Unajua bed manners kweli?
 
Katavi ndo umepona majeraha ya jimbo la ubungo nini. ina maana hata vijisenti vimepungua eeh.
 
wanaume wameumbwa mateso na kuhangaika jitume baba yote majukumu,ukipenda boga ........
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…