Yani una miaka 29 hujaolewa unataka kutoa mimba?
aya nimaisha yake hapaswi kuwaza watu watasema nini juu yake akiwasikiliza watu atakosa vyote watu hao hao wataanza mbana haolewi angekuwa na mtoto tu wakati umli umeshakataAnaonekana anaogopa kulea bila baba ndio maana anataka wale wanaochukia single moms wampe ushauri.
Anataka kuzaa ila hajielewi
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Kwahiyo atakuwa maskini hadi kufa? Huyo ni mpita njia... Jiongeze... Mimba ingetakiwa kuwa chanzo cha muunganiko mpya....Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Pole sana.Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.