Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?

Maji ushayavulia nguo huna budi kuyaoga,you can you will and you must keep that baby though the choice is yours

Cc Kingsmann
 
Lea mimba lea mtoto wako ndo ndugu yako huyo, mimi nilikimbiwa na daktari nikiwa na mimba ya miezi 2 huku na huku akaja kuoa mdada mwingine mtoto akiwa na miezi 8, sijawahi onana nae wala kuwasiliana na yeyote kati yao kwao kuanzia mama yake dada zake baba zake, nimepambana mpaka sasa mtoto anasoma chekechekea nalipa ada million 1.3 kwa mwaka na tunafuraha sana nikiwa na huzuni huwa ananiuliza "mama aumwa? Akiamka anasema mama napenda wewe, naenjoy sana.
Bado sijapata mwanaume kwa maisha yangu sasa hivi kila mwanaume mbaba anamuita baba, najua ipo siku nitapata mume na tutakuwa familia bora tu.
Nilipitia mengi sana kudharauliwa, kusemwa kusimangwa kisa tu nimepata nimba na mtoto kabla ndoa ila sasa hivi wao ndiyo wanaona aibu

Dada kaza moyo usitoe mimba utazaa salama ba mtoto atakua na mtakuwa na furaha na amani
 
QUOTE="kagebby, post: 32822971, member: 526898"]
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
[/QUOTE]
HUYO SI MPENZI WAKO ILA NI ADUI,FISADI NA MUUAJI ACHANA NAE MARA MOJA!
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
Nakuomba nitafute nipe mimi mtoto nitaleaaa tena kwa moyoo mojaaaa
 
Una miaka 29 na unashindwa kufanya maamuzi kwa jambo kama hili unaweza nini sasa? Kut...ana tu?
 
Kadhia za masingle mama zimo humu tu kwenye ulimwengu wa nadharia lakini mtaani ndo wanaongoza kwa kuolewa tena kwa harusi
Mtoa mada kwa vile unao uwezo wa kumuhudumia mtoto, Jizalie mtoto wako mwaya huenda unatuletea mkombozi
mitandao iko kinyume sana na maisha ya mtaani na ninaamini watu wanaowasema sana hawa wadada ni uzao wa hao hao kina mama wanaowaita single mama
 
Ya humu ukiyatilia maanani sana unaweza kujihisi mnyonge kumbe wala wengi ni story za kujifariji ama hasira ya waliyopitia huko nyuma
nitandao iko kinyume sana na maisha ya mtaani na ninaamini watu wanaowasema sana hawa wadada ni uzao wa hao hao kina mama wanaowaita single mama
 
Kwann unataka kuuwa nafsi isiyokuwa na hatia? umesha tenda dhambi nzito ya ZINAA bado unataka kumpa SHETANI second chance kwa kufanya dhambi kubwa zaidi ? jamani MUNGU YUPO na kwa hakika anayaona tunayo yafanya usiku na mchana !!!
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
Njoo dm, niko tayari kulea PAPUCHI na hiyo mimba. kagebby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom