Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

Umenena vyema mkuu.
aya nimaisha yake hapaswi kuwaza watu watasema nini juu yake akiwasikiliza watu atakosa vyote watu hao hao wataanza mbana haolewi angekuwa na mtoto tu wakati umli umeshakata
Bai ze wei usingle mother uko mitandaoni nimeudhuria harusi nyingi tu jamaa wameoa mabinti wsliokwisha zaa
 
Unataka tushiriki kwenye dhambi yako ya uuwaji miaka 29 unategemea mawazo ya mwanaume kwenye kulea mtoto mmoja come on huwezi kua serious miaka 29 na kazi nzuri utashindwa kulea mtoto 1 tu acha uoga wa maisha
 
1. Wewe hujui unachotaka kufanya na huo ujauzito?

2. Malengo yake yalikua kuzaa au?

3. Sikiliza moyo wako unachokitaka. Watakwambia zaa (uitwe single mom) au toa (uitwe muuaji)
Maamuzi yako mikononi mwako
Mmh imenigusa hiyo ya kuitwa single mom au muuwaji, bora kuitwa single mom tu uwe na Furaha na mtoto wako, kuliko kuua dhamira itakusuta milele kama ushawahi kuua kiumbe , kama ana kazi yake hatoshindwa kulea bana akomae tu.
 
Zaa tuu dada. Huyo mtu wako hakuwa na lengo na wewe.
Dereva bajaji kwa siku hawezi kukosa zaidi ya elfu 5 akitoa pesa ya Boss.
 
Kama Uko dar Fanya kun pm Mimi Nina mpaka 37 Sina mtoto natafuta hata mtoto wa kusingiziwa lakini sipati, njoo unisingizie hiyo mpenzi Mimi ntalea kuliko kukiuwa kiumbe kisicho na hatia
 
Kama Uko dar Fanya kun pm Mimi Nina mpaka 37 Sina mtoto natafuta hata mtoto wa kusingiziwa lakini sipati, njoo unisingizie hiyo mpenzi Mimi ntalea kuliko kukiuwa kiumbe kisicho na hatia
Aisee pole mkuu ila usikate tamaaa...!!
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
Usitoe..
Miaka 29 unashauriwq upuuzi n hujui cha kufanya?
 
Unampa moyo wako Dereva bajajii...?? Unambebea na mimba akati kakwambia hayupo tayari kuzaa bhasi fanya Hiyo mimba umejipaa tu mzee mama...
 
Kadhia za masingle mama zimo humu tu kwenye ulimwengu wa nadharia lakini mtaani ndo wanaongoza kwa kuolewa tena kwa harusi

Mtoa mada kwa vile unao uwezo wa kumuhudumia mtoto, Jizalie mtoto wako mwaya huenda unatuletea mkombozi
aya nimaisha yake hapaswi kuwaza watu watasema nini juu yake akiwasikiliza watu atakosa vyote watu hao hao wataanza mbana haolewi angekuwa na mtoto tu wakati umli umeshakata
Bai ze wei usingle mother uko mitandaoni nimeudhuria harusi nyingi tu jamaa wameoa mabinti wsliokwisha zaa
 
Miaka 29

Huna wa kukutuliza mchecheto

Huna mtoto

Una kazi nzuri tuu

Ushauri​

Kuwa tayari kuwa single mama

Itunze hiyo mimba vizuri

Muambie huyo boda awe tayari kuwa baba ila utalea wewe

Cha mwisho, jitahidi kuwa serious kidogo na maisha yako

****************************************

Unforgetable
 
Ungeomba ushauri wa kuuwa
Mbona watu wanakwepa sana kusema wazi tu unataka kuuwa?
Ulijua wazi kuwa kitendo unachofanya ni cha kutafuta mtoto sasa umuuwe kwa nini
Anaetoa riziki sio yeye wala wewe bali ni Mungu
Wapo wengi wasiokuwa na wazazi na wanaishi
Zinaa mbaya, olewa
 
Nakushauri lea huyo mtoto na endapo hatakuwa anakuja kumtunza na kukupa mgegedo,mm nipo free nayaweza yote hayo,ikikupendeza karibu PM.
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
Sijaina neno condom ama kupima HIV kwenye Uzi wako
 
Write your reply... Miaka 29, una kazi nzuri, baado unauliza swali kama hili, haya ni matumizi mabaya ya akili.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom