Mpenzi wangu ananishauri nitoe mimba, hana uwezo wa kulea

kwanzia Leo umepanda cheo badala ya kuwa Miss Fulani umekuwa single mother hongera sana mkuu


ila mabaharia mpo sahihi huyu demu ukimuoa na u single mother wake lazima akikumbushie akikutana na mzazi mwenzake huyo dereva bajaji

pole sana sijui Nani atakuoa
 
Sasa ushasema wewe una kazi nzuri tu si utamlea wewe maadam mwenzako alishakuwa mkweli hapo mwanzo, huna haja ya kufanya uuaji wakati Mungu kakupa uwezo wa kumlea huyo mtoto.
 
Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.

Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.

Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....

Je mnanishaurije?
We hufai hata kuwa mke huna siri suala la mimba lilitakiwa iwe siri yako na mchepuko wako kwa umri huo 29 yrs bado unafanya ngono nzembe
 
Una kazi nzuri...Dereva bajaji...Mwezi Mmmoja...Umebeba mimba... Anakuambia utoe... Unataka uzae... Single mother...

Angalia usije haribu future yako kwa mambo ya kijinga...
 
Those are impacts of playing dangerous games with immature men/boys.

In most cases they end up abusing your inner feelings.

Please! come to us men.
 
Single mom would-be!

Ilikuwa kuwaje kwanza ukabeba mimba bila kutarajia tena na mtu wa ovyo ovyo?

Kweli wewe kwa umri huo unashindwa kabisa kujua mzunguko wako?

Achana na calendar je, hata njia zingine za kuzuia mimba kama CD na Emergence pills hukuziona kabisa!?

Unaonekana kuwa mtu wa ajabu sana, halafu si ajabu na wewe hapo eti unakuta una diploma sijui degree.... Shwenziii kabisa.

Kuwa single mom tu kuliko kuua hicho kiumbe.

Halafu eti baadae na wewe uanzee kujiita "strong woman".. na wakati ni mpuuzi mmoja tu.
 
Mna mwezi tayari una mimba,.......... Any way ilee tu mamy sababu kazi unayo na pesa unapata ilee mwenyewe
 
Miaka 29 huna mme, unadandia madereva. Umepata mimba unaomba ushauri.
Wakati hiyo mimba wewe ndo umeitafuta,kuwa na kazi nzr unahisi vijana ndo watakupenda

Ndani ya mwezi mahusino una mimba kama siyo wewe ndo ulikuwa unatafuta mtoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom