mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
Njoo tulee wote
Huyo kijana ni mwoga wa maisha mbona waenda bajaji wenzake wanaendesha familiya zao na hiyo kazi...kama unamwona huyo kijana hana akili ya maisha na huna nae malengo itoe tu hiyo mimba maana utakayokutana nayo ni makubwa kama hujajipanga...Hongera maana hata kuishika mimba ni hatua nzuri kuonesha uko active waweza shiriki kwenye uumbaji!Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Kwanza hakupendi huyo unaemwita mpenzi. Na pia usije ukathubutu kutoa mimba hiyo huenda huyo mtoto ndio akawa mtoto wako wa mwanzo na wamwisho. Kwahiyo akili vidoleni mwako.Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Sina Unatoka kunipa mmoja mpenzi
Nitakushukuru Sana miminimamaNitakupa mpenzi.
UNA MIAKA 29 NA KAZI NZURI?? HAPO HAPO PANA SWALI TOSHA TU KUWA WAKATI YEYE ANAKWAMBIA USIBEBE HAWEZI KULEA JE WEWE ULIKUWA UA UHITAJI WA MTOTO?? NA KAMA YEYE ANA MTOTO MMOJA ATA KAMA ANAMUHUDUMIA KWA SHIDA, JE WEWE UNAYE? NA KAMA HUNA WHATS IS YOUR PLAN FOR THE ZYGOTE INSIDE YOUR WOMB?? KILLING IT TO MAKE THE MAN HAPPY?? OR YOU HAVE NO REGARDS FOR HAVING A BABIE WITH HIM??Mimi nina Mika 29 ninafanya kazi nzuri tu. Ila sasa nikawa sinamtu mda mrefu nikajikuta natuliza miwasho kwa Dereva mmoja wa bajaji.
Sasa swala linakuja kuwa tumedumu kwa muda wa mwezi na Sasa nimegundua ni mjamzito wa week mbili. Kwanzia mwanzo kabisa siku ya Kwanza aliniambia usije beba mimba yangu kua hawezi kulea Saiv.
Nimemwambia juu ya ujauzito anasema nitoe yeye hataki kulea kwani anamtoto mmoja na anashindwa kuhudumia....
Je mnanishaurije?
Ndio...ndo maana nikapata mimba nlikuwa nawaza kit..om....bana tu
NotedUNA MIAKA 29 NA KAZI NZURI?? HAPO HAPO PANA SWALI TOSHA TU KUWA WAKATI YEYE ANAKWAMBIA USIBEBE HAWEZI KULEA JE WEWE ULIKUWA UA UHITAJI WA MTOTO?? NA KAMA YEYE ANA MTOTO MMOJA ATA KAMA ANAMUHUDUMIA KWA SHIDA, JE WEWE UNAYE? NA KAMA HUNA WHATS IS YOUR PLAN FOR THE ZYGOTE INSIDE YOUR WOMB?? KILLING IT TO MAKE THE MAN HAPPY?? OR YOU HAVE NO REGARDS FOR HAVING A BABIE WITH HIM??
ALSO A MONTH RELATION AND TAYARI MSHAANZA KUCHAKATA MGODI AS SPEEDY AS THAT?? THE OUTCOME OF UNSAFE SEX ARE VARIABLE AIDHA MAGONJWA YA ZINAA KAMA HAMKUPIMA KAMA SI MIMBA ZISIZOTARAJIWA, BUT BEAR IN MIND BETTER TAKE THAT PREGNANCY AS YOUR LAST BABIE COZ U NEVER KNOW IF YOU ABORT IT MAY BE UR LAST OVARY TO MAKE A BABY WITH MAN PROTEINS.
Nimeamua kutotoa kabisa.Huyo kijana ni mwoga wa maisha mbona waenda bajaji wenzake wanaendesha familiya zao na hiyo kazi...kama unamwona huyo kijana hana akili ya maisha na huna nae malengo itoe tu hiyo mimba maana utakayokutana nayo ni makubwa kama hujajipanga...Hongera maana hata kuishika mimba ni hatua nzuri kuonesha uko active waweza shiriki kwenye uumbaji!