Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Ha ha ha sawa bwanaYap yap![]()
![]()
![]()
Ha ha ha sawa bwanaYap yap![]()
![]()
![]()
Ndugu [HASHTAG]#aspirin[/HASHTAG] nimejaribu kufuatilia michango yako. Mkuu una comment nzito nzito tu. Hongera kwa hilo. Unajaribu kumpa mawazo ya kufanya maamuzi magumu.Mwombe 0713. Lazima ataingia mitini...
Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
shan shopu ndo wap mkuuuuMwombe 0713. Lazima ataingia mitini...
Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
Right kama ningempata mwanamke uliye nae kwa sasa hata nisingethubutu muacha hata mara moja, kama utamuacha huyo mwanamke jua utafunzwa baadae. Huwa namuomba Mungu nipate mwanamke aliye na tabia kama ya huyo uliye nae lakin naangukia pabaya leo hii unataka umuache dah!Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!
Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!
Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!
Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!
ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.
Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.
Nisaidieni Mazee!
Ni China mkuu...shan shopu ndo wap mkuuuu
Love you more my sweetie mchepukoI love you mpango wangu pekee wa kando
Hahaha...TOL_Tanzania oxygen ltd upo rightSasa unategemea nani atamuoa??? Yaani bikra umtoe alafu sisi tuje kula matapishi??? So sad, wewe oa tu, tena nasema oa...
Binafsi nakushauri muoe haina jinsi Mkuu
Wewe oaaaaaaaaaaaaaa, nasema oaaaaaa haraka sana
Anza na MontiiiI hope no one discovers you
Hope no one sees her
I hope no one falls in love with you
I've got my reasons
'Cause if they knew what I know then I know I wouldn't stand a chance
There's no way you would go for a man like me if you had options
[Chorus]
Even though the world was meant for you
I hope you don't get famous
'Cause everyone will love you but won't love you like I do, oh nah
Hope you don't get famous
Stay home with me
Stay home with me
I'll always love ya, I'll always
Hope you don't get
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Hope you don't get famous
Yeah