Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Kuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.

Unamaanisha nn unaposema "wanawake ambao hawajawatarajia"
 
Vuta picha huyo ni bint yako alafu mimi ndio nimepost huu uzi Jf nikiona jambo zuri kabisa....
 
yani dume zima unajisifu kudekezwa na mwanamke?
 
Kibaya zaidi "she belives in me the most"

Kazi kweli kweli
 
Baba ishu ndogo sana hapo kama una nia ya dhati ya kumuacha. Nipe namba yake nimpige Tongozo af wewe uje ufumanie mchezo.
 
Ni pm namba yake niwe chanzo cha kukuharibia hayo mahusiano..
 
Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!

Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!

Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!

Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!

ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.

Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.

Nisaidieni Mazee!
Duuh
 
Back
Top Bottom