Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!

Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!

Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!

Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!

ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.

Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.

Nisaidieni Mazee!

Unataka tukupole! !
 
Ukimwacha maisha yako yatakuwa magumu sana am telling .

Watu wote semeni amen
 
Daaaah wewe kilaza aisee, mwanamke wa kuoa ni yule anayekupenda na kukusikiliza. Yaan usiombe kuoa mwanamke mjuaji anayekuona wewe sawa na fala flan. Ila oa mwanamke ambaye utamwambia kitu anafanya hata kama hataki ili wewe uwe na furaha. Yaan ukioa hao wengine mpaka mgegedo utapangiwa siku na ukimuuliza anakwambia nimechoka. So mm nipo kwenye ndoa miaka 9 sasa nina uzoefu mkubwa
Mwambie huyo. Hii ni Shida ya kushusha cut-off point ya kuingia chuo. Miaka yetu Mtu akiwa graduate wa degree ya mlimani hata akilizake zinakuwa timamu. Otherwise awe ameanza kuchizika Kama Huyu jamaa
 
Ha ha course inahusika nini hapo. Rudi kwenye maada mkuu. Yaani atakama nilisoma kiswahili Ila sina mawazo Kama yako. Na sijui kama wasoma kiswahili wanakuwa ma Engineer
tupo kujifunza kiongozi funguka, mimi nilifanya civil pale wewe ulifanya nini?
 
Daaaah wewe kilaza aisee, mwanamke wa kuoa ni yule anayekupenda na kukusikiliza. Yaan usiombe kuoa mwanamke mjuaji anayekuona wewe sawa na fala flan. Ila oa mwanamke ambaye utamwambia kitu anafanya hata kama hataki ili wewe uwe na furaha. Yaan ukioa hao wengine mpaka mgegedo utapangiwa siku na ukimuuliza anakwambia nimechoka. So mm nipo kwenye ndoa miaka 9 sasa nina uzoefu mkubwa
Asante boss, una fikra Mbadala
 
tupo kujifunza kiongozi funguka, mimi nilifanya civil pale wewe ulifanya nini?
Mie sianiki professional yangu Kama njugu. Nikikwambia nimesoma Electrical itakusaidia nini???. Mie nakushauri Kama kaka yako change bro
 
Mwambie huyo. Hii ni Shida ya kushusha cut-off point ya kuingia chuo. Miaka yetu Mtu akiwa graduate wa degree ya mlimani hata akilizake zinakuwa timamu. Otherwise awe ameanza kuchizika Kama Huyu jamaa
Ahahahahaa Kiongozi sina Historia ya kupata two kurudi nyumaa, Niliwahi kufelii sana Advance Mock examination nilipata div 1.8
 
ulaaniwe wewe haiwezekani mtu kakupenda kwa kiasi hicho afu unakuja kusema huku. nakuhakikishia utakuja kumpata mtu ambaye utaomba Mungu akurudishie huyu afu hutapata tena na dunia itakuenjoy. Kumbuka malipo ni hapahapa duniani.
Mimi mwnyewe katika kukua kwangu nilitka kufanya kosa kama hilo nikakaa na kutafakari coz niliomba kwa miaka mingi kupata mwanamke bikra kwa kweli nilimpata. baada ya kukutana naye baadaye nilitaka kumwacha nafsi ilinisuta sana lakini hadi leo naendelea naye nilifunga naye ndoa 7 yrs now. Kumbuka duniani hata uzunguke vipi you will never get a pefect human being. utapata mwenye akili lakini malaya. ni vema upate mjinga lakini anajitambua kukupa huduma zote hadi unakuja kusimulia hapa. Think twice utakuja kujuta sure am telling you. Usimwache huyo mwanamke na kikubwa mpe mapenzi ili asije kujaribu kuonja nje coz atakuja kukudharau kama perfomance yako kitandani ni poor. Kumbuka wakti wote mke wako mtombe hadi akojoe kila wakati unampokutana naye. kama hakojoi ikija ikatokea akapata mtombaji utajuta kuzaliwa na wanawake wakiguswa kidogo sehemu wanazotaka they are very simple to fall into real love.
Safii San kwa ushaur wako nadhani Mwenye maskio asikie.
 
Mie sianiki professional yangu Kama njugu. Nikikwambia nimesoma Electrical itakusaidia nini???. Mie nakushauri Kama kaka yako change bro
Mkuu unavoandika comments zako upo kama sio msomi...oke twendee mbelee
 
Back
Top Bottom