Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Kuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.
ahahahahaaa
 
Kuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.
Ni kweli naakikuchoka anakutema
 
Mwambie ukweli kuwa humtaki halafu ataumia kwa siku chance then atakuwa sawa na atapendwa na mwingine.

Wewe utampata pasua kichwa unayemtaka kisha utakuja humu kuomba ushauri, tutakushauri tena.
 
Nina wasiwasi na wewe kuwa Engineer. Sijui CoET inatuletea Jamii gani hii. I hope wale Wazee wasingestafu/fariki. Angalau tungekuwa na standard. Enzi za rwambuka, tesha, Ndazi, rubaratuka, kimambo, masanja, isingo, nyahoro kubwa la maadui, John, chungu Hao ni baadhi tu. Vijana walikuwa clean kweli. Anyway ndo maisha yanabadirika hivo
 
Nina wasiwasi na wewe kuwa Engineer. Sijui CoET inatuletea Jamii gani hii. I hope wale Wazee wasingestafu/fariki. Angalau tungekuwa na standard. Enzi za rwambuka, tesha, Ndizi, rubaratuka, kimombo, masanja, isingo, nyahoro kubwa la maadui, John, chungu Hao ni baadhi tu. Vijana walikuwa clean kweli. Anyway ndo maisha yanabadirika hivo
Oke by the way nimemwacha Rubataruka akiwa Principle wa coet, nyahoro yupoo, shirima na Miamba wengine wengi!
 
Mwanamke asiye na akili anakera sana hasa kama elimu dunia ni zero....hii ya darasa sio shida hata ya dunia huna!!!! Ya kujua msibani lazima ujipikilishe au majirani ndo ndugu zako...
 
Nadhani mtoa maada ndio mwenye iq ndogo kabisa kuliko demu.... nakushauri oa kidumu cha sulphuric acid.
 
shida unakuja kumsemesha Engineer kama artist.....hukusoma CL for Engineers??
Ninauhakika umemaliza chuo juzi hata huna registration ya ERB. Dogo maisha hayako hivo. Enzi zetu wadada walikuwa wanakuja kusoma CoET Kwasababu Walikuwa na uhakika kuwa Engineer ni mtu wa uhakika sio utumbo unaoshusha humu. Naona mi-thread yako ya hovyo
 
Naomba usimuoe kwa maana atapata mwanaume asiye na akili na mpumbavu ambaye si hadhi yake,.yeye ni quality na wewe ni quantity
 
Ninauhakika umemaliza chuo juzi hata huna registration ya ERB. Dogo maisha hayako hivo. Enzi zetu wadada walikuwa wanakuja kusoma CoET Kwasababu Walikuwa na uhakika kuwa Engineer ni mtu wa uhakika sio utumbo unaoshusha humu. Naona mi-thread yako ya hovyo
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri!, ulisoma course gani CoET
 
Naomba usimuoe kwa maana atapata mwanaume asiye na akili na mpumbavu ambaye si hadhi yake,.yeye ni quality na wewe ni quantity
quantiti in brain ahahahaa
 
Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!

Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!

Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!

Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!

ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.

Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.

Nisaidieni Mazee!
Daaaah wewe kilaza aisee, mwanamke wa kuoa ni yule anayekupenda na kukusikiliza. Yaan usiombe kuoa mwanamke mjuaji anayekuona wewe sawa na fala flan. Ila oa mwanamke ambaye utamwambia kitu anafanya hata kama hataki ili wewe uwe na furaha. Yaan ukioa hao wengine mpaka mgegedo utapangiwa siku na ukimuuliza anakwambia nimechoka. So mm nipo kwenye ndoa miaka 9 sasa nina uzoefu mkubwa
 
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri!, ulisoma course gani CoET
Ha ha course inahusika nini hapo. Rudi kwenye maada mkuu. Yaani atakama nilisoma kiswahili Ila sina mawazo Kama yako. Na sijui kama wasoma kiswahili wanakuwa ma Engineer
 
Back
Top Bottom