Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Poa pooaaaAnza na Montiii
Poa pooaaaAnza na Montiii
Poa poa MkuuHahaha...TOL_Tanzania oxygen ltd upo right
.
Bora umuache alafu utolewe mshipa,, ndo utajua nini maana ya ujinga,Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!
Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!
Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!
Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!
ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.
Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.
Nisaidieni Mazee!
sensitive!Bora umuache alafu utolewe mshipa,, ndo utajua nini maana ya ujinga,
Lakini nikukumbushe yakua penda pale unapoon unapendwa kwa dhati, alafu mapenzi nikama upofu hivyo ckwamba huyo mdada ni mjinga katika utimizaji wa kile ukitakacho, Bali nikwakua anakupenda sana, anakuthamini sana, anakuheshim sana ndio maana anakuombea mema ndio maana anakujali, ndio maana hakuzarau,,,
Nnaimani ckummoja iwapo ukimpenda mwanmke mwenye kukudharau, asiye kuthamini utalia na kusaga meno, na utamkumbuka uliye nae, hakika mwanaume usiombe kudharauliwa na mtoto wa kike,,, hakika inauma hatari
Ila sikushangai sana maana kuna usemi usemao " unaempenda sana na kumthamini sana yeye hua hakupendi wal hakuthamini kama ufanyavyo kwake"
"You'll never realize the true value of the moment until it become a history ""
Hamna kitu...akili za usiku tu hizikwanini dada mkubwa
Ndoivyo mkuu,, yaan huyu kijana kwanza inatakiwa atolewe mshipa ndo aje kua na hikima na busarasensitive!
kweli kabisaNdoivyo mkuu,, yaan huyu kijana kwanza inatakiwa atolewe mshipa ndo aje kua na hikima na busara
Mwanaume yapasa kuwa na hekima na busara, in sense that awe ana careful judgements and reasoning upon a certain matter, naona hafikirii wala hajui alisemalo wala alitendalo.
Hahah effect za milegezo hzowatu wengine sijui ni wa kolomi...
Engineer kamwe hana tabia za kujisifia sifia hivi mbele za watu.tupo kujifunza kiongozi funguka, mimi nilifanya civil pale wewe ulifanya nini?