Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,165
Engineer kamwe hana tabia za kujisifia sifia hivi mbele za watu.
Nenda kafanye project ikupe sifa, Idiot.

Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!
Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!
Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!
Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!
ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.
Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.
Nisaidieni Mazee!
Asante shangazi yangupoa dada nimekuelewa
Huwa nampenda sana hayati luckydube, kila ninapopata depression huwa nasikiliza sana nyimbo zake, maana kaimba siasa, dini , na mapenzi kwa kila kona. Kama unaweza kudownload wimbo unaitwa " till you loose it all" usikilize neno kwa neno. Wallah utamganda huyu dada mpaka atakuuliza umebadilika kwa nn. Na kuna mwingine nimeusahau nitakutumia nikikumbuka ila ngoja nikupe mashairi ya huu wa kwanzaHabari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!
Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!
Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!
Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!
ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.
Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.
Nisaidieni Mazee!
Asantee saana kwa Mchangoo wako....asantee sanaa aseeHuwa nampenda sana hayati luckydube, kila ninapopata depression huwa nasikiliza sana nyimbo zake, maana kaimba siasa, dini , na mapenzi kwa kila kona. Kama unaweza kudownload wimbo unaitwa " till you loose it all" usikilize neno kwa neno. Wallah utamganda huyu dada mpaka atakuuliza umebadilika kwa nn. Na kuna mwingine nimeusahau nitakutumia nikikumbuka ila ngoja nikupe mashairi ya huu wa kwanza
"We take a lot of things for granted
One day it' ll be taken away
That' s when you' ll realize
How important it was
You never miss your water
Till your well runs dry
Give thanks and praise all the time
The wolf is always by the door
Chorus:
You don' t know what you' ve got
Till you lose it all again
You never miss your water
Till your well runs dry
He' s a hero, now that he' s dead
Oh what a bull preacherman talks about him
When he was alive
He didn' t even know his name
When he was alive
He didn' t get this love
You never miss your water
Till your well runs dry
Chorus:
You don' t know what you' ve got
Till you lose it again
You never lose your water
Till your well runs dry"
Mwombe 0713. Lazima ataingia mitini...
Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
Aseeee duh kweliMkuu nipe namba zake maana tayari umesha nisafishia njia,mm sipendi kutoa bikra.Habari za jioni hii wana MMU, baada ya shughuli ya siku nzima nimekuja tena kwenu hapa!
Ee bwana ishu ya leo ni huyu binti ambae kwa sasa ni mpenzi/demu wangu, nimekuwa nae kwa miaka kama mi 4 sasa
huyu binti alipoteza usichana wake kwangu na kwa uzuri alionao sikuwahi kuamini kama angekuwa bikra lakini ilikuwa ivo!
Aaah sasa ishu ni kwamba uyu mwanamke ananidekeza kinoma, kila ninachotaka nakipata yaani sisumbuki sumbuki yaani.....kitu ambacho nadoubt uwezo wake wa kufikiri!
Kiukweli sina Mpango wa Kumuoa huyu Mwanamke Maana hajameet Criteria yangu ya kuwa na high au angalau Normal inteligence!
ishu kubwa ni hio yaani amejirahisi sana kwangu na hilo ja,bo halinipi amani maana nashindwa kumtaftia kosaa na mimi sina future nae kabisaa...so inaniwia vigumu kumuacha.
Sasa wale wenye experience nisaidieni Mwanamke wa dizaini hii Namuachaje? Maana sihisi tena ule upendo niliokuwa nauhisi kwake mwanzo! na kibaya she believes in me the most.....naona sometimes anatumia mda wake mwingi kuniombea na hilo jambo linanikosesha amani.
Nisaidieni Mazee!
hii kaul umekumbusha mbal sanaWhat goes around comes around.......