Mpenzi wangu ananibania sex

Msikilize na uheshimu maamuzi yake na hiyo itakufanya ufikirie ndoa haraka, si uko mwaka wa tatu? Mshahara wako wa kwanza peleka posa kwao.
Mkuu kwa zama hizi inatakiwa wasikilizane wote tu, kijana yupo teyari kwa ndoa so ni uyo mwenzake sasa amuamini na waianze safari taratibu
 
Kufukuzia
2013 - Form v
2013 - Form 3

Kukubaliwa
2015

Status: Uhusiano unaendelea, ila no kudinya
2017 - Mwaka wa 3
2017 - Mwaka wa 1

Next: 2019 Ndoa, ndo upewe tunda.

Mpe ushaur kijana kabla hajaja kulia lia hapa ndio matatzo ya kuskip jando
 
Hiyo ni akiba tunaweka pembeni.
Tunachangamkia fursa zingine.

Halafu mwanamke usipomsumbua kwa muda mrefu kuhusu kapapuchi ujue anastuka anaanza kukulazimishia mwenyewe.

Hawajui unaisusa kama hutak vile unaomba akikataa unasema poa kumbe unaenda kwa mwengne shuhul imeisha
Akija kwako anakuona muaminufu kwel umeweza kuvumilia kumbe long time ushafanya yako
 
nop sio kwenye simu... mm nasoma mzumbe moro..yeye UDSM .. ni ishu ya makubaliano tu either yy aje moro au mm niend dar

very simpo
Endelea kuomba papuchi ukiwa mbali wenzio walio karibu wanabutua.. nenda uone kama utapigwa kalenda
 
Hawajui unaisusa kama hutak vile unaomba akikataa unasema poa kumbe unaenda kwa mwengne shuhul imeisha
Akija kwako anakuona muaminufu kwel umeweza kuvumilia kumbe long time ushafanya yako
Shwaiin
 
Mwache asomeshwe namba, mwaka wa 3 bado hujielewi?

Tatzo kutwa kwenye laptop wanaangalia series Za kikorea wanategema nn ngoja wakubwa zake tukamsaidie
Amesema mchumba wake yuko chuo gan vile
 
tatizo akigundua kuwa nachepuka ataumia sana... na nadhan ataniacha..na nnampenda sana (in fact hajaonesha anything suspicious mpaka sasa anaonesha mapenzi fresh tyu)..tatzo ni sex tu

mawazo ya ku cheat huwa yananijia na zali kibao napataga..but nkitaka ku act nafsi huwa ina nisuta sana

Mkuu wewe badi ni bikra?
 
Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2013 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!

kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!

kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?

NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI

Subiri Ndoa Mkuu Usiwe na Papara. Anakuhifadhia Huyo..!!
 
Tatzo kutwa kwenye laptop wanaangalia series Za kikorea wanategema nn ngoja wakubwa zake tukamsaidie
Amesema mchumba wake yuko chuo gan vile

Jamaa bado bikra, science ya hawa watu hajaielewa, atajifunza lakini.
 
mbona unamdanganya mtoa mada? hiv nyie wanawake mna nini? kwanza kitendo cha mtoa mada kumfukuzia huyo demu for 2 years ni dalili tosha kuwa huyo demu hana mapenzi ya dhati kwa mtoa mada, yani kamweka mtoa mada kama spare tyre ndo maana hata kumpa sex inakuwa vigumu, huyo dem bila shaka kuna mwanaume mwingine anamkaza huko nje, au kuna mwanaume anaependwa na huyo demu, akitokea in the picture mtoa mada anapigwa chini Sky Eclat mutu murefu
asee noma sana..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom