Mpenzi wangu ananibania sex

Mpenzi wangu ananibania sex

tatizo akigundua kuwa nachepuka ataumia sana... na nadhan ataniacha..na nnampenda sana (in fact hajaonesha anything suspicious mpaka sasa anaonesha mapenzi fresh tyu)..tatzo ni sex tu

mawazo ya ku cheat huwa yananijia na zali kibao napataga..but nkitaka ku act nafsi huwa ina nisuta sana
Jina lako ninalikumbuka, utakuja na post ndefu sana hapa ya kuachwa
 
Wanafunzi wanaosoma boys only, wanakabiliwa na tatizo la kisaikolojia liitwalo "male chauvinism", wanapomtaka msichana, hujiona its their right kumpata, na akikataa pia its right kumbaka!, na wengi hubakwa hawasemi, hawalalamiki na baadhi ya mahusiano huanza kwa kumbaka ndipo kisha hupenda!.

Pia kuna type ya wanawake wana tatizo liitwalo "MASOCHISIM" hivyo huitwa macho women, hawa huderive sexual satisfaction kwa kufanyiwa violance kama kubwakwa!, hivyo hata umtake vipi, hakubali, ila anajilengesha ili utumie force, ikiwemo kumvutia chumbani kwako, kumvua nguo kwa nguvu, akiona zinataka kuchanika, anaachia zitoke, then anaishikilia pichu sometimes unaichana!, akilala kitandani, anafunga miguu ufanye kazi kuifungua!, ukifanikiwa, utamnote she enjoys very much!, tena anajiachia haswa!. Wanawake hawa wanataka kuwa "concqured", ili wamkubalie mtu, lazima awe "the conqueror", hawa "male chauvinism", wakikutana na "macho women" wana blend.

Kuna type ya wanawake wanainatwa "FEMININE" hawa hata mfuate vipi, uonyeshe unampenda vipi, hawakubali ng'o mpaka akupende yeye!. Hawa thamani yao ni "uanamke wao!", ukimfuata fuata huku hakupendi, anakuona kero, una ghasi!. Mwanamke wa type hii, akikutana na hawa "male chauvinism", its trouble!. Marehemu Levina was this type, a "feminist!". Alipokerwa, alichukua hatuo zote za kuripoti, bila kupata msaada wowote!, take it from me, hiyo siku alipofight, "alibakwa!" hakusema kuepuka aibu, ikaishia kusemwa kuwa she was only harrased not abused!. Kwa vile kitu cha thamani kubwa kuliko kitu kingine chochote kwake was her "feminity" na kuna mtu kaja kujichukulia kwa nguvu as if ni yake!, then akajisikia she was degraded to the botom line, hivyo life kwake haina thamani tena!, kuliko kuishi na machungu, bora ajiue!.
 
Oya nwanamke wa chuo hasubiliwi...utapelea sn....ka anazngua nenda nae kwa Danadana ivo ivo....ukiwa unajua 50%cio Zako...kwahy ustegemee sn
 
Wew kama umekula videsa vya Njovu..rock..binamungu..itika..msanjila huyo mtoto ageshafanyiwa yake vikenge . La sivyo wewe ni wa mzumbe secondary hapo juu
hahaha nmekula videsa vya ngowi..kacholi..nyaruba..mrutu..kesale...bunini....mgeta etc

ila bado mtt anabania
 
Kama hujazoea kufanya ule mchezo huwezi kuumiss.
Hv wanawake mnadhan na sie wanaume tunawazaga kama nyie sio? dunia mbili tofaut kabisa, tena wakati mwingine n aheri ambae ameonja
 
sijawah mgegeda kabisa... na alkua hajawah ku date kabisa... nlianz kumfukuzia tang yupo form 3... tulikua washkaj weng sana tukapigwa chini sema mm nlikomaa mpaka mwisho had nkampata... nae anasema she z still virgin (sija prove)
Watu mnaroho ngumu sana, mie wiki tu kusubiri ni shida
 
Kwanza unawezaje kukaa na mwenzie mwaka hujala papuchi...Acha ubwege ww domo zege au miaka miwili umekaa tu au sabuni kwako inahucka
 
Habari za jioni wanajamvi

mimi ni kijana wa kiume, miaka 24..nina mpenzi wangu ninampenda sana.. nilianza kumfukuzia tangu nipo kidato cha 5 mwaka 2013 yeye akiwa kidato cha 3..akanikubalia 2015... na huu ni mwaka wa 2 tupo katika uhusiano rasmi..kwa sasa nipo chuo kikuu mwaka wa 3 na yeye ni mwaka wa 1..tunasoma vyuo tofauti..!

kinachonitatiza ni kwamba kila nikitaka sex amekua mgumu.. hataki, anasema nisubiri mpaka tuoane.. na hajawah ku date na mtu yeyote previously, mimi ndie first love!

kwa wataalamu wa haya mambo, mnanishauri nifanyeje? nisubiri mpaka ndoa? maana napata shida sana (nadhan wanaume mnanielewa nnachomaanisha).. na je ni kweli huyu binti anamaanisha au kuna wahuni wanamgonga huko?

NB: NAOMBA USHAURI WA KUJENGA SIO KEJELI
Kuna issues za kitoto mnakaa na kuongelea na watoto wenzako!
humu utapotoshwa Zaidi kuliko kusaidika!
huwezi kupewa ushauri wa kimapenzi na jamii, lazima watu waliokaribu nanyi wafanye assessment ya situation na kushauri!
pili mahusiano sio lazima mfanye ngono, mwenza wako yuko sahihi, so subiri!
mwisho! acha uongo, au ukipenda uongo jifunze kuwa smart!
mtu aliyekuwa form 3 (Jan, 2013), atakuwa form 4 ( Jan 2014), then form five (May 2015/2016 ) na form six (May2016/2017)!
sasa huyo wa mwaka wa kwanza chuo kikuu ameingiaje?
anapaswa kufanyiwa uhakiki!
 
Back
Top Bottom