Hata hao waliojifunga pingu wanaliwaga sana.. usimpe moyo inategemea na hulka ya ntu na ntu mkuu.. overMfunge pingu za maisha kabla hajaenda chuo...
Usipofanya hivyo sasa usije kumlaumu baadaye utakapompoteza.
Acha kazi ukasome nae chuo
Nenda nae tu hakuna jinsiWahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.
Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.
Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.
Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?
Sent using jamii forums mobile app
Pole sana kwa huu Wasi wasi...Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.