Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Posts
128
Reaction score
98
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app
 
Mfunge pingu za maisha kabla hajaenda chuo...
Usipofanya hivyo sasa usije kumlaumu baadaye utakapompoteza.
 
Wahenga WANGU Mimi ni kijana ni muajiriwa Wa serikali ya JPM Nina demu WANGU nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tank mpk sasa ANAENDA CHUO KIKUU.Ila kwa hali ilivyo huko vyuon Nina wasiwas huko ANAENDA kuibiwa mchumba WANGU lkn yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naomben ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuish nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wew nenda chuo kikuu....,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mliopitia kidato cha tank mje mumshauri muhenga aliyenusurika kunyea ndoo kwa miaka 30,ila wanaume mna roho ngumu jamani lol !! Vitisho vyote hivi vya JPM na miaka 30 jela bado tu mnaendelea kufanya ngono na wanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga simu utafute deal, Chuoni ni kama Sokoni utakuta kila design ya tabia, soo kama ni mjanja atabaki na akili zake BUT kama anaiga basii atakuwa sio wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom