Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mimba

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Mkuu kama huyo mpenzi wako ni mrembo kweli basi hesabu maumivu..........ukiona mabadiliko tu jua tayari shamba limepata mkulima.
 
Wasichana wengi wakienda vyuo vikuu uwa wanabadilika Kuna uwezekano mkubwa uhusiano ukaisha uwa wanaiga maisha ya juu, time will tell just wait and see jitayarishe kisaikolojia kuachwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan hapo hakuna namna lazma amegwe tu, hata ukifunga nae ndoa kabla kugegedwa kuko pale pale, tumeshuhudia sana walokuja na pete zao za ndoa walizivua baada ya muda na ku date na wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Make sure unampa hela za kutosha asianze kushawishika na means mbadala za kupata vitu kama simu kali, kusuka mitindo tofauti kila wiki, nguo za fashion e.t.c
 
Back
Top Bottom