Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Kwani ulimchonga wewe huyo! Mwache aje tu mrejesho siku hizi hauchelewi...
 
uaminifu kitu kikubwa sana hata kama hakuna uhalisia , vumilia tu kama kuliwa ataliwa kama wewe ulivyokula wa wenzako ukiwa uko

be___blessed
 
Piga kambi chuoni ili njemba zisikupore kipenzi cha moyo wako.

Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app
 
Acha uwoga mkuu mtu mzima haibiwi,anaazimwa tu,so jiandae kuwa na wabia.
 
Huyo hatokua wa kwako tu hata kama hatakuacha ila couple ya chuo muhimu

sent from my Tecno W3
 
Mliopitia kidato cha tank mje mumshauri muhenga aliyenusurika kunyea ndoo kwa miaka 30,ila wanaume mna roho ngumu jamani lol !! Vitisho vyote hivi vya JPM na miaka 30 jela bado tu mnaendelea kufanya ngono na wanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app

Kichwa kisicho na ubongo kikiamua hata we unang'olewa
 
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app
Aiseee kumbe watu Huwa mnaanza kusaka watoto huku huku sekondari
 
Jiandae kisaikolojia,wala usiwe na papara ya kuoa,maana utajalia kilio cha mbwa!Chuo kikuu hakijawahi kumwacha demu salama,labda asiwe mzuri.
Mwamini tu madamu haihami,na wewe endelea kujifariji tu madamu siyo chaki useme itaisha.Mungu akiwajalia uzima na bado mkawa mnapendana mtaoana akimaliza chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom