Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mpenzi wangu anaenda chuo kikuu nifanyeje asiniache?

Mkuu na wew omba hapo kazini kwako ukasome chuo kikuu au kiwango chako cha elimu akikuruhusu wew kwenda hapo. Hee ngoja niishie hapo nisije nikadhani umeajiriwa wizara nyeti kumbe cleaner

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app
chapa mimba alaf umuache aende nayo hicho ndo kinaitwa kishika uchumba akiwa chuo, zaidi ya hapo hesabu maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu ambacho ni zaidi ya "threat" kwenye mahusiano kama umbali (distance) na kubadili mazingira. Hapo cheza patapotea tu yaani usijeamini 100% kuwa atamaliza salama asee. Chamsingi wewe piga kazi na ufikirie zaidi kutengeneza maisha yako...

"Life+time"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea akili yake si wote wanaufahamu mfupi mwamini atakuwa salama tu mungu yupo na kila mwenye nia njema
 
Jiandae kisaikolojia....
Vizinga vya kila dakika na usipoweza basi kindala kitakuhusu,Maana nikasema kibuti nitakuletea maumivu wakati muda bado
 
MPE mimba uwa wakizaa uwa akuna MTU anadeal nae labda wahenga wenzake

sent from my iPhone 6
 
Akimegwa utakuja tena, wahenga nisaidieni nifanyaje amekwisha megwa, baadae tena kapewa mimba wahenga nifanyaje? mapenzi ni mambo ya watu wawili siyo mambo ya jumuiya, wewe fanya lile ambalo unapaswa kufanya as a man.
 
Kifriji ni dawa pekee ktk mazingira hayo otherwise vunja ukimya kwa kitanzi cha uvumilivu kanisani au kwa Mkuu wa wilaya.ingawa Unaweza kukutana na kisiki cha mpingu upande wa familia yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app

Kwa ninavyowajua Mademu wa Kibongo hata Kipindi hiki uko nae na bado hajaenda huko Chuo Kikuu umesalitiwa nae sana tu hivyo cha msingi pambana tu na hali yako Mkuu.
 
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.

Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.

Ila kwa hali ilivyo huko vyuon nina wasiwasi huko anaenda kuibiwa mchumba wangu japo yeye amenihakikishia kuwa hatonisaliti.

Hivyo basi naombeni ushauri nifanyeje ili nitimize ndoto zangu za kuja kuishi nae?

Sent using jamii forums mobile app
nilichokuja kuwasoma wasichana ni kuwa wanapenda kuwa close sana na wapenzi wao yaani ukiwa mbali naye tu akapata hata wa kupiga naye story lazima achepuke kwa hapo mkuu umepoteza NIPE NAMBA YAKE TU

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Mliopitia kidato cha tank mje mumshauri muhenga aliyenusurika kunyea ndoo kwa miaka 30,ila wanaume mna roho ngumu jamani lol !! Vitisho vyote hivi vya JPM na miaka 30 jela bado tu mnaendelea kufanya ngono na wanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Chuo gan nikampokee? Nikulindie

Maana chuoni kuna disc zile za usiku karibia na ue mule manz hachomoki lazma auze mechi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom