Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

Wadau salaam,

Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.

Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.

Nifanyeje wadau
Kashakuambia yuko single, hapo unachotafuta ni kudanganya, mtoto wa watu kajieleza vizuri kuwa yuko Singo kama unadai ni mpenzi wako basi hiyo nafasi haujaibana bado iko wazi
 
Wadau salaam,

Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.

Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.

Nifanyeje wadau
Ndio wako hivyo hivyo hapo anakubana apate uhakika wako....nenda nae kwa akili...
 
Wadau salaam,

Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.

Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.

Nifanyeje wadau
Mko wawili.
 
Kitalamu, Izo tunaita red flag,
Ni vihashiria vya awali kabisa vinavyoonesha hupendwi hutakiwi.

Sikia achana nae tafuta hela mkuu.
Anaekupenda hawezi kumaliza siku hajakutafuta.
Ila KUKU MAJI sio wewe unaelialia kwenye nyuzi zako umekaliwa kimya wiki2!
 
Wadau salaam,

Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute.

Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa ataniambia vingine.

Nifanyeje wadau
Salaam mdau,

Pole kwanza kwa hali unayoipitia kwenye mahusiano yako. Baada ya pole sasa tunaongea kiume zaidi, hio ni moja ya red flag katika mahusiano yako. Either huyo binti amekuchoka, haoni direction kwenye safari yenu, amepata jamaa mwingine au bado haelewi nini maana ya mahusiano na namna ya kuishi katika mahusiano.

Ushauri, kama ulifanya effort nyingi kuzungumza nae na kueleza namna unavyo mthamini basi ni wakati muafaka kwako kumpotezea na wewe taratibu bila kuonesha dalili au kuropoka kwenye simu. Just punguza mawasiliano kama ulikua unampigia au sms daily basi pitisha hata siku huja piga wala kutuma sms na ukiona nae amekomaa ndani ya siku 2 au 3 hajakutafuta na kuuliza mbona kimya basi nyanyua virago vyako mazima. Ikiwa hujakula mbunye bado hilo swala ni uzembe wako mwenyewe ila kama tayari ulishamwaga mikojo hana faida tena huyo.

Ushauri huu unaweza ukawa mzito kwako kama ndio unaanza mahusiano ila kwa ma konkod ni kitu cha kawaida sana na simple tuna wasahau hao watu.

Mwisho, yupo manzi nipo nae alikua ana mashauzi ya hivyo na nikawa sina time ya kuwasiliana nae anaweza tuma sms asubuhi nikajibu kesho au isijibiwe, anaweza akapiga nikaiangalia tu mpaka niamue etc, etc na kikubwa ni pale anapokua na uhitaji flani wa vitu like kodi, matumizi au mambo yake binafsi. Kwakua nishamjua basi nilimkatia waya kitambo qmebaki kuwa omba omba asiejielewa na mi nilisha hamisha hisia kwa mtu mwingine...

Mwanaume kumbuka mwanamke ambae sio mke wako wa ndoa hana faida kwako hii kauli inaeza ikawapa hasira wadada ila Mwanamke tambua mwanaume ambae sio mume wako wa ndoa bado hana faida nawewe! Ukikua utaelewa nini nimeandika otherwise endelea kuenjoy mitoko, kula na huduma nyingine.

Wasalaam.
 
Bro nashukuru sana. Sijamtafuta siku 1 naye amepiga kimya. Baada ya siku 3 nitafuta namba yake maisha yaendelee. Dunia hii tusikubali dharau
Salaam mdau,

Pole kwanza kwa hali unayoipitia kwenye mahusiano yako. Baada ya pole sasa tunaongea kiume zaidi, hio ni moja ya red flag katika mahusiano yako. Either huyo binti amekuchoka, haoni direction kwenye safari yenu, amepata jamaa mwingine au bado haelewi nini maana ya mahusiano na namna ya kuishi katika mahusiano.

Ushauri, kama ulifanya effort nyingi kuzungumza nae na kueleza namna unavyo mthamini basi ni wakati muafaka kwako kumpotezea na wewe taratibu bila kuonesha dalili au kuropoka kwenye simu. Just punguza mawasiliano kama ulikua unampigia au sms daily basi pitisha hata siku huja piga wala kutuma sms na ukiona nae amekomaa ndani ya siku 2 au 3 hajakutafuta na kuuliza mbona kimya basi nyanyua virago vyako mazima. Ikiwa hujakula mbunye bado hilo swala ni uzembe wako mwenyewe ila kama tayari ulishamwaga mikojo hana faida tena huyo.

Ushauri huu unaweza ukawa mzito kwako kama ndio unaanza mahusiano ila kwa ma konkod ni kitu cha kawaida sana na simple tuna wasahau hao watu.

Mwisho, yupo manzi nipo nae alikua ana mashauzi ya hivyo na nikawa sina time ya kuwasiliana nae anaweza tuma sms asubuhi nikajibu kesho au isijibiwe, anaweza akapiga nikaiangalia tu mpaka niamue etc, etc na kikubwa ni pale anapokua na uhitaji flani wa vitu like kodi, matumizi au mambo yake binafsi. Kwakua nishamjua basi nilimkatia waya kitambo qmebaki kuwa omba omba asiejielewa na mi nilisha hamisha hisia kwa mtu mwingine...

Mwanaume kumbuka mwanamke ambae sio mke wako wa ndoa hana faida kwako hii kauli inaeza ikawapa hasira wadada ila Mwanamke tambua mwanaume ambae sio mume wako wa ndoa bado hana faida nawewe! Ukikua utaelewa nini nimeandika otherwise endelea kuenjoy mitoko, kula na huduma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom