Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Andaa maelezo yaliyonyooka, lasivyo utakuwa mtalaka ASAP.
 
mbuzi kafia kwa muuza supu .jamaa katoka jela kakuta kabinti katamu kashindwa kumeza mate udenda umemtoka ... Aah Nyapala nipe kazi....
 
Kuna mdogo wao wa kiume anakuja na ni mzuri hasa sasa sijui itakuwaje kaka tetetetetetetete
 
Mpe hela mkuu,pitia ATM nenda na msimbazi 2 atatulia tu
 
Mkuu kesi Yako Hiyo Haiwezi kutatuliwa na Mawakili wa hapa MMU kwa kuwa wao wenyewe ni Wajanja wa hapa lakini Huko majumbani wanakuna mpaka Nazi. Unachotakiwa ni kuingia Gharama Kumnunulia Zawadi Yenye Thamani kubwa kulingana na Kosa lako Kisha Muondoe Shem wako hapo nyumbani nadhani hilo litakusaidia

jaman haya nayo yana ukubwa wake hata hvo hamna haja ya kumwondoa maana akimwondoa what next kwamba ataenda akasahau? Na kama jibu n ndyo basi wakae wote hapo hapo kwakua umelikologa waoe wote wawili yaishe ila mke wako mweleze tu kua umempenda zaid mdogo kuliko yy kama hatak kushare n mdogo ake atambae maana kizuli kula na mwenzio
 
Ugonjwa uliokushika kwa sasa ni baada ya kujua rais ajaye ni lowassa, ona sasa umechanganyikiwa mpaka UNAMTONGOZA shemeji yako!! Kweli Lowassa atawamaliza mwaka huu!!

Kwa ushauri tu, ili hali yako irudi normal amia kwenye mabadiko amia kwa Rais wako ajaye Lowassa!!!


Umeniacha hoi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom