Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Wakuu,

Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.

Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?

Huwa huna kazi ya kufanya au nyie ndo majobless mnaoimba hapa kazi tu.
 
Wakuu,

Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.

Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?

tang'ana;
Kwa hiyo unataka tukufundishe namna ya kuharibu nyumba moja kwa uchafu wako?? Urudi tena kuja kutuambia kuwa umewabebesha mimba watoto wa mtu mmoja wawili, na alipokuja mdogo wao wa tatu mzuri Zaidi ya wote naye akakuchekea.
Mbuzi weee. Ningezijua namba za hayo masichana ningeyatukanilia mbali kwa kukusikiliza ujinga wako
 
Mmmhh

tongoza na mama yao kabisa ili uwe na ushahidi kamili
tye tyee tyee
vijana bana !!!!!!
 
Wakuu,

Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.

Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?

Kwani anatakaje??

Your weakness ni ukicheche(mpaka kutongoza mdogo mtu) Ok. What's her weakness?Labda ninaweza kukusaidia kuanzia hapo.
 
Binadamu wengine sijui mkoje..

Wanawake wooote mpaka utongoze mdogo wa mpenzi wako????

Mfyuuuuu kabisa
 
Kwani anatakaje??

Your weakness ni ukicheche(mpaka kutongoza mdogo mtu) Ok. What's her weakness?Labda ninaweza kukusaidia kuanzia hapo.

her big weakness ni kwamba ananipenda sana.
 
mwambie adeal na mdogo wake maana ndo chanzo ,amtoboe toboe macho yake.
 
ndio maana nimekuja hapa MMU,maana mawakili wa kesi za mapenzi wamejaa sana kwenye hili jukwaa.
Mkuu kesi Yako Hiyo Haiwezi kutatuliwa na Mawakili wa hapa MMU kwa kuwa wao wenyewe ni Wajanja wa hapa lakini Huko majumbani wanakuna mpaka Nazi. Unachotakiwa ni kuingia Gharama Kumnunulia Zawadi Yenye Thamani kubwa kulingana na Kosa lako Kisha Muondoe Shem wako hapo nyumbani nadhani hilo litakusaidia
 
Nipe number za dada yake mchezo uwe umeisha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom