Mkuu kesi Yako Hiyo Haiwezi kutatuliwa na Mawakili wa hapa MMU kwa kuwa wao wenyewe ni Wajanja wa hapa lakini Huko majumbani wanakuna mpaka Nazi. Unachotakiwa ni kuingia Gharama Kumnunulia Zawadi Yenye Thamani kubwa kulingana na Kosa lako Kisha Muondoe Shem wako hapo nyumbani nadhani hilo litakusaidia
kuishi pamoja ni Vigumu Kumgegeda kwa kuwa mgegedo hauna siri hvyo wangeshtukiwa lakini kama anaishi nae mbali basi ni rahisi kwa kuwa mechi za ugenini zingehusikaUnahisi anakaa nao? Akili yangu inaniambia kinyume,kwa maelezo yake lait wangekuwa nyumba moja nadhani angeshagegeda siku mingi huyu jamaa. Teh teh
Sasa kwanini umtongoze shemeji yako nawewe?
kuishi pamoja ni Vigumu Kumgegeda kwa kuwa mgegedo hauna siri hvyo wangeshtukiwa lakini kama anaishi nae mbali basi ni rahisi kwa kuwa mechi za ugenini zingehusika
Wakati mwingine mashemeji wanakuwa watamu na warembo kuliko dada zao
ndio maana nimekuja hapa MMU,maana mawakili wa kesi za mapenzi wamejaa sana kwenye hili jukwaa.
Wakuu,
Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.
Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?
Hahaa..ila huyu jamaa bana..
ndio maana nimekuja hapa MMU,maana mawakili wa kesi za mapenzi wamejaa sana kwenye hili jukwaa.
Vipi nafasi Yangu ushaniwekea
Nafasi zimejaa..sijui nitakuweka wapi. Hebu chagua
Niweke rohoni panatosha kwani utakapo passed away Nami nitaandamana nawe
Tafuta wakili, kesi kubwa hii