Mwambie una ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu
Haha. Amwambie ana condition kitaalam inafahamika kama 'fugue amnesia'. Kuna jamaa huwa ana-take over him mara kwa mara, ndiyo kafanya hayo yote.
Wakuu,
Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.
Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Na Amwambie Tuu Kuwa Dogo Mkali Kuliko Ww!!!Huitaji hata kujitetea bro, mpe tu ID yako ya JF na ulichofanya kitakuwa justified baada ya kusoma posts zako. Kila la kheri mzee.
Naomba namba ya huyo mpenzi wako, mi nitamaliza ishu yote. hakuna gharamaWakuu,
Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.
Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Na Amwambie Tuu Kuwa Dogo Mkali Kuliko Ww!!!