Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Mpenzi wangu amejua kuwa nimemtongoza mdogo wake

Mi nahs bado hujamtongoza wala nn ila unaplan ya kufanya hivo maana unamtaman tayar huyo mdogo wake na unajiuliza je likibuma? Akagundua na ushahid akawa nao itakueje? #thinkingOutsideTheBox
 
Wakuu,

Nimetongoza mdogo wa mpenzi wangu,kwa kweli huyo mtoto ni mzuri sana kuliko hata dada yake, sasa dada mtu kajua kuwa nimemtongoza mdogo wake na ushahidi wote anao.

Wakuu, nijiteteeje kwenye hii kesi?

inatokezea mkuu ata mimi yalinikuta lakini nilichofanya baada ya kugundulika niliangalia ni yupi ana uwezekano wa kuendelea na mimi pamoja na yote yaliyotokea, mmoja niliamua kumsamehe kabisa mana alikuwa hot sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom