Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Sio warahisi, sema unaliwa tu hela zako, na ndio wanazozifuata.Mwanangu mm itabd njia ya IFM kwenda job nichange kwamaan ninakaugonjwa cha kuwala san madem wa chuo alaf warahis san
Sio warahisi, sema unaliwa tu hela zako, na ndio wanazozifuata.Mwanangu mm itabd njia ya IFM kwenda job nichange kwamaan ninakaugonjwa cha kuwala san madem wa chuo alaf warahis san
Nipo field sahv huku Mbeya mamaUko wapi sasahivi
Umemaliza kaka![/QUOTE]Ipo siku nitaongelea kuhusu hili suala la wake za watu huku chuo. Ila kwa vile sahv yashanikuta, asante kwa ushauri wako[emoji120][emoji120]Ushauri:
Jifunze kuheshimu wanaume wenzio, mwanamke kama ana pete na unajua kachumbiwa usiweke kambi, kama ni lazima sana kuzini nae, timiza haja zako kisha achana naye, utaishi kwa amani sana.
Sawa ahsante kaka! Ila next time jifunze kuheshimu wanaume wenzio.Samahani, siwezi kukwambia jina la chuo ila kipo Mbeya[emoji120][emoji120]
Nipo field sahv huku Mbeya mama
Oya atajiua huyu ujue!!Sio dhambi hasa akiwa na Ukimwi kama hivyo inapendeza anavyokumaliza vizuri
Akifa atakuwa kapenda wakati dawa zipoOya atajiua huyu ujue!!
Hahahaha
Yes ninabaki na imani yangu, ahsante kwa muda wako.Siwezi kutuma picha kaka, sio vibaya ukabaki na imani yako kuwa sio pisi kali[emoji120]
Watimizieni mahitaji yao yote ipasavyo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sawa ahsante kaka! Ila next time jifunze kuheshimu wanaume wenzio.
[emoji120][emoji120]Yes ninabaki na imani yangu, ahsante kwa muda wako.
Unapokosea wewe unajumuisha wanaume wote kwenye upuuzi wako na tamaa zako. Sio wote, wewe kama uliona kumkwepa ungeonekana sio rijali, basi ni kwa upande wako na usijumuishe wanaume wengine. Unafeli sana kaka, tupo watu wenye heshima na misimamo yetu, na ni marijali vile vile.Kitu ambacho hamjui ni kwamba udhaifu wetu wanaume upo kwa wanawake, akiamua kuwa nawewe huwez mkwepa kwa namna yoyote ile otherwise uwe unajua defects zake[emoji120]
Maneno yenu ni makali mno!Akifa atakuwa kapenda wakati dawa zipo
Amini usiamini udhaifu wetu upo kwa hawa viumbe na kila unachokitafuta wewe chenye thamani ni kwa ajili ya mwanamke, the otherwise of this ni labda wewe ni abnormal.Unapokosea wewe unajumuisha wanaume wote kwenye upuuzi wako na tamaa zako. Sio wote, wewe kama uliona kumkwepa ungeonekana sio rijali, basi ni kwa upande wako na usijumuishe wanaume wengine. Unafeli sana kaka, tupo watu wenye heshima na misimamo yetu, na ni marijali vile vile.
Kwa hiyo naomba uache kuwajumuisha wanaume wote kuwa wangefanya kama ulivyofanya wewe.
Ahsante!
Kwa maelekezo haya nais nipo salama 50%, kilichobaki ni kupima tu kujiridhisha hizo 50% zilizobakia.Pole mkuu! Iwapo alikuwa anazitumia hizo dawa vizuri , acha kuwa na hofu upo salama! Kuna Bro wangu amezaa kabisa na mwathirika, alikuja gundua kuwa shem ni mwathirika wakiwa wameishi nae mwaka mzima mmoja!
Bidada ana mwili huweziamini kwa kumwangalia machoni, lakini kweli walipoenda HIV test, Broa akakutwa yupo salama na hata baada ya kurudi after 3 months bado yupo salama hadi leo ni mwaka wa 3 na anatoa damu kuchangia wenye upungufu!
So unaweza kuwa salama chamsingi ni kama katika kipindi mlichokuwa mnapiga show, uliwahi kuwa na vidonda au michubuko kwenye machine?
Maana HIV wanaingia toka mwili wa mwathirika kwenda kwa mtu mwingine mara baada ya kuweza kuifikia blood stream, Otherwise upo salama!
You are wrong, si kila ukitafutacho chenye thamani ni kwa ajili ya mwanamke, nakupinga. Yaani bado unaendelea kutujumuisha tu wengine. Ipo hivi bro: ukijiona wewe ni dhaifu na ukikamatwa basi usitaje wenzako, kufa kivyako. Kwa sababu wote tungekuwa dhaifu basi tungekamatwa kama ulivyokamatwa wewe.Amini usiamini udhaifu wetu upo kwa hawa viumbe na kila unachokitafuta wewe chenye thamani ni kwa ajili ya mwanamke, the otherwise of this ni labda wewe ni abnormal.
Believe or not it's upon you
Asante pia[emoji120][emoji120]