MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,235
- 12,888
- Thread starter
- #121
[emoji120]Sio dhambi hasa akiwa na Ukimwi kama hivyo inapendeza anavyokumaliza vizuri
[emoji120]Sio dhambi hasa akiwa na Ukimwi kama hivyo inapendeza anavyokumaliza vizuri
Ulikuwa kama mimi tu, though bado sijahitimu!Wakat nipo chuo nlikua sina interests sana na madem wa chuo, kutokana na nilokua nikisikia na kujionea. Jikaze siku kaijue afya yako, unaweza kuta ni -ve. ACHA KUISHI KWA MASHAKA!!
Na wakaka wa chuo Mungu awasaidie pia maana mnaletewa magonjwa na hao wadada ambao nyeti zinatumika sanaI also guess the same brow, maana juz alvokuja nimekuta nyeti zake zimebadilika sana[emoji42][emoji42] ila wadada wa chuo Mungu awasaidie tu maana nyeti zao zinatumika sana[emoji855]
Bado haitoshi kutuaminisha kuwa alikuwa ni pisi kali, tuma picha. Kumsifia gf ni kitendo yyt anaweza fanya, na kufuatiliwa na wazr sio issue na sio sababu, weka proof ya picNaomba nitoe specifications za huyu mwanamke japo kwa uchache.
She's White ila sio sana, mrefu kwa kiasi chake, ana shape isio ya kukinai, dimpoz, shingo ya kukatikakatika (sijui kama nimepatia), macho yake nashindwa kuyaspecify, and the like but in short she's very very cute. Huchoki ukiwa unamtazama.
Huyu mwanamke ni moja ya wanawake ambao wana sifa zote za kuitwa pisi kali tena grade one [ ila kwa sababu ana umeme inabidi nimweke kwenye Grade Z[emoji174][emoji706][emoji706]] , ni mwanamke ambae aliumbwa akaumbika kila idara. Ni mwanamke ambae kama asingetokea kunielewa mwenyewe nisingeweza kuthubutu hata kumbwambia kuwa nampenda na nahitaji kuwa nae.
Ni mwanamke ambae akipita popote lazima wanaume waweweseke kwa kugeuza shingo na kuomba namba au kutafuta connection ya kumpata, nilipata sana tabu mwanzoni kipindi nipo nae maana nlihis ataanza kunicheat ila badae nlizoea ile hali na nikaona kama ina advantage maana tulikua tukiishiwa hela hizo contacts ndo alizokua anatumia kupata hela. Ni mwanamke ambae huez jutia kutuma hela huku ukijipa matumaini kuwa ipo siku utafanikisha lengo lako la kumpata ila mwisho wa siku isingewezekana kwa kipindi hicho nipo nae.
Ni mdada ambae nashangaa ni kwanini sio superstar sababu anawazidi masuperstars wengi wa kike apa bongo kwa uzuri kwenye kila idara, nais sijui ni kwa sababu sio mtu wa socal networks sana maana hata IG account yake ina picha moja tu.
Nakumbuka enzi hizo nipo nae nliwah kukumbana na wakati mgumu baada ya kutoka nae club usiku tukawa tumekaa karibu na meza ya Waziri fulani [sahv sio Waziri maana alitumbuliwa], alituma chawa wake kuja kumwomba huyu mwanadada kwa lengo la kujumuika nae meza moja wapate kinywaji na nikamruhusu badae yule Waziri akamwomba amsindikize Hotelini alipofikia halafu arudi ila nikamkataza na akakubali (alikua anantumia text kuniupdate kipindi yupo meza moja na huyo Waziri)
Nakumbuka Pia Aliekua RC wa huu mkoa (kashatumbuliwa pia) alivonipatia wakati mgumu enzi hizo na huyu mwanadada, ila sitoelezea maana ni stori ndefu kidogo
sifikiri kama kuna mwanaume yeyote ambae laiti angevaa viatu vyangu angeshindwa kufanya kama nlivofanya na kupelekea kunikuta haya yalonikuta. Ni basi tu kila mtu anachukulia kwa mtazamo wake, but at general perspective ni vigumu sana kwa mwanaume rijali kushindwa kufall kwa huyu mwanadada tena paspo kuwa na mawazo ya kutumia kinga kwenye sita kwa sita.
I pray nisijekuta kaniambukiza huo ugonjwa, i still do believe so[emoji120]🧎[emoji3603]🧎[emoji3603]
Niwashauri tu wanaume wenzangu tusiwaamini hawa wanawake, ni watu ambao itoshe tu kusema kwamba ni wasiri mno[emoji174][emoji26]
It's unfortunate siwezi kutuma picha yake apa[emoji2955]
Kweli nimeamini Karma is Real na Malipo ni hapa hapa duniani si unaona...Ni tamaa za kibinaadamu tu
Alikuwa mchumba wa mtu na pete ya ndoa
Ila ukaamua kupiga tu kwa kuwa jamaa yuko mbali
Baadae ikawa mapenzi ya uongo ukaenda kudanganya penzi kwingine
Uandishi wako mzuri sana na unafundisha vijana jinsi ya kuepeka wachumba wa watu
Hata kama ukipata maradhi ni njia uliyopita na ikawa kwa hiyo uwe mpole tu na ubebe mzigo na mwanao pia
We kweli ni shetan...[emoji1787]Unazani kupata ukimwi ni rahisi kiivyo.lbd kama ulipitia nakwa mparange
Wewe Mama yangu uliamua kunitelekeza kabisa[emoji174][emoji26]but at least umenikumbuka wakati wa shida[emoji120][emoji120][emoji120]Kuzaa sio kazi kubwa kama kulea jamani..... Mwanangu Funzamume moyo umeniumaaa lakini usipanick please!
Nenda kapime ujue afya yako.. na kwa majibu yoyote utakayopewa amini tumaini bado lipo. Wengi tuu wameishi na wenza+ na hawajapata maambukizi na wengi tuu wana maambukizi na wanaendelea kutimiza ndoto zao.
Btw chanjo tayari na tiba iko njiani yaja
Mimi mama yako nakupenda katika hali yoyote, najua tulipotezana lakini sijakutupa
Siwezi kutuma picha kaka, sio vibaya ukabaki na imani yako kuwa sio pisi kali[emoji120]Bado haitoshi kutuaminisha kuwa alikuwa ni pisi kali, tuma picha. Kumsifia gf ni kitendo yyt anaweza fanya, na kufuatiliwa na wazr sio issue na sio sababu, weka proof ya pic
Kitu ambacho hamjui ni kwamba udhaifu wetu wanaume upo kwa wanawake, akiamua kuwa nawewe huwez mkwepa kwa namna yoyote ile otherwise uwe unajua defects zake[emoji120]Kweli nimeamini Karma is Real na Malipo ni hapa hapa duniani si unaona...
Wewe Mama yangu uliamua kunitelekeza kabisa[emoji174][emoji26]but at least umenikumbuka wakati wa shida[emoji120][emoji120][emoji120]
Rangi wanaendana ila huyu ni mfupi kidogo kwake na havai vikuku afu pia sura na shingo kamzidi huyu japo sijaiona
Siko salama kwa kweli mama yangu, nipo napumulia mashine apa ICU ukuje unifariji[emoji24]Take easy son. Mama anakukumbuka na atakutafuta tuu, Uko salama
Siko salama kwa kweli mama yangu, nipo napumulia mashine apa ICU ukuje unifariji[emoji24]
Kweli nimeamini Karma is Real na Malipo ni hapa hapa duniani si unaona...
Ukithubutu kwenda kupima tu umekwisha(in Ndugai's voice)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mwenzio 2016 ioo niko first year niliuza mechi mara kadhaa kwa manzi flani hivi alikua mhudumu wa baa jirani na nilipokua nakaa. Baada kama ya wiki hivii wahuni si wakaja kunipa taarifa kwamba mtoto kawaka
Na nikikumbuka mara zote nilikua namchukua midaa ya saa 6/7 usiku namkaza mpaka mornie bila kinga, nilivurugwa balaa ngwengwe isikie tu mwili ulipungua kwa kasi ya 5G nazani ndani ya wiki kadhaa tu nilikua nime drop kilo toka 68 mpaka 50
Sema baada ya muda nikaona kuteseka kwa nini kama kufa kupo tu sijawahi enda kupima na siji kupima na sijawahi uza tena mechi mwaka wa 5 huu na wala siwazi
Sasa huu wasiwasi nauondoa vp mama yangu[emoji2955]Huumwi chochote ni wasiwasi tuu.
Jibu swali sasa![emoji849]
Kwa hiyo maisha yako yote ya chuo hukuwahi hata kutembea na mwanachuo? Mbona umekosa vingi sana?! Hujutii kupitwa na vingi?Way back kipindi naanza chuo Udom, kwenye orientation tukaambiwa kabisa tuwe makini hapo chuoni kuna kontena za Mama Salma huwa zinashushwa kila mwaka na Udom ni wengi sana sabu kulikua na nafasi kubwa ya kukaa maelfu ya wanachuo! Aisee mpaka sasa sijawahigi tembea na mtoto wa kusoma chuo, siwaamini kabisa..
Uko wapi sasahiviSasa huu wasiwasi nauondoa vp mama yangu[emoji2955]