Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,505
- 2,894
Ex wako kaja kuomba radhi juu ya Yale yote aliyokufanyia je utakuwa tayari kumsamehe na kumfungulia ukurasa mpya
Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Ata kama utakuwa umeoa/kuolewa?
Mkuu had huna kumbukumbu au bas tufanye amekuja jack na lil for the same time Nan wa kusamehewa?Unamaanisha yupi, Lil au Jack au Amina au Fetty, Joseline au yule neema wa yombo...
Make kwanza nijue unasemea yupi
Ulikuwa church boy wazee wa Piano kila jumamos jion😂😂Nitamsamehee maana sikuwai kupiga ulokole ulini zidia
Acha nilikataa kula bikra kisa tu dini imekolea 😂Ulikuwa church boy wazee wa Piano kila jumamos jion😂😂
😂😂 Ulijuaje kuwa ni bikraAcha nilikataa kula bikra kisa tu dini imekolea 😂
Alinitumiag iyo sms kuwa ana tafuta wa kumtoa😂😂 Ulijuaje kuwa ni bikra
Hii nayo ni red alert
Ogopa matapeli😂😂😂🤸🤸 mwenye anaomba mwenyew ujue hyo hana bal anataka kukuingiza kwenye mtegoAlinitumiag iyo sms kuwa ana tafuta wa kumtoa
Acha basOgopa matapeli😂😂😂🤸🤸 mwenye anaomba mwenyew ujue hyo hana bal anataka kukuingiza kwenye mtego