Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Mi wangu alijiingiza kwenye biashara ya utapeli ya q net alitaka anipige pesa namwonaga anapost post utumbo utumbo
Ahaha..huyo hakua na mkakati wa mahusiano bali alikuweka kua mkakati wake wa kupata hela via q net, sasa we uli-give up
 
Namkumbuka ..tulikua Chekechea...tulifanya tabia mbaya tukachapwa sana...ameolewa kijijini kwetu na mlevi mmoja sugu...ana watoto watano. Nitamsaidia kumsomesha last born shule nzuri sawa na wanangu!
Mkuu congrates kwa idea hiyo ya kuamua kumsaidia mtoto mmojawapo.
Ila Mkuu kwanini umeamua kumsaidia huyo wa mwsho na si 2,3...au ni damu yako kwa namna fulani?
 
Yupo ana watoto watatu na ndoa yake yenye furaha. Huwa tunasalimiana kimtandao coz tupo marafiki. Last time nilikutana nae MNH nikiwa nasubiri wife ajifungue, we hugged na kupiga stories mbili tatu. Hatuna hard feelings na heshima mbele kama tai.
Good, congrates!
 
Sijui alipo Nlikuwa Form Three alikuwa form four....Utani wangu na Vituko vyangu vilimfanya anipende ,....baba yake alikuwa mnoma so nlipigwa mkwara nikawa Sina Time nae(Hapo hakuna aliyemtongoza mwenzie) Week ikapita Siku ya michezo nipo zangu Nyuma ya shule ....rafiki yake Cathy Akanifuata akaniambia Fr Anataka kuongea na wewe ....subiri hapa usiondoke....Mara why umenisusa ,nimekukosea ...kupunguza story Nkapewa barua .....Nina shauku ya kusoma ....natamani Nifike nyumbani kwa speed ya light ....mvulana nikatongozwa....😂😂😂😂
Sina hati nzuri...ila nilijipinda mpaka saa 7 nkapata hati nzuri nikajibu barua....mazee.....sikuwahi kuromance ila siku iliyofata miadi ...nkalambwa mate...siyo mimi niliyemlamb Coz nko na aibu kinyama when it comes to den**da.......Mapenzi Moto Moto....ni mwendo wa Kulana mate..😂 bahati mbaya ndo alikuwa karibu kumaliza F4 ila alizama kwangu....kafanya Mtihani ..kafail bse of me ....mshua wake akampeleka shule fulani kurudia ...... Akampata mshkaji was Huko ambae alikuwa baharia kunizidi me Akala kitumbua ...nkaonekana fala ...nililia Day ananambia Mimi sijui kitu na hawezi kuwa na me .....ndo nilikuwa nimemaliza F4 kwa kuwa I don't give a fvck about my past life.......Sijui alipo japo ndo Dem wa Kwanza kunipa 😘
😄😁😁😁..
Vipi Mkuu saiv umeshakua competent?
 
Wakuu Salaam;

Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.

Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.

Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.

Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.

Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.

Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.

Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k

Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.

Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Unauhakika kwenye izo semina sio za QNET au AIM GLOBAL ALLIANCE.
😂😂😂😂😂😂
 
Namakumbuka mpenzi wangu Tunda Mpiga sijui yuko wapi? mara ya mwisho nilikuwa naye JKT Msange Tabora, OPP. programme ya chama! kwa mujibu wa sheria, hayupo face Book wala INST. nje nimezunguka sijawahi muona!
Mkuu inaonekana ulikua unampenda sana yeye T,
"Nje" unamanisha wapi?
Ulikua unajua viwanja vyake huko nje?
 
Hahaha hizo jitihada ni za mama yake mzazi, we other female creatures failed it all.

Sahivi hata mademu hataki yupo na gospel zake tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hizo jitihada ni za mama yake mzazi,
The day is good from this reply
Sahivi hata mademu hataki yupo na gospel zake tuu.
Saivi anaonekana kama kioo..
Lakini Vipi hua mnawasiliana kama rafiki tu na kumpa moyo katika kazi ya Bwana, au rewind hupendi?
 
Back
Top Bottom