Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Yupo Mwisho wa nyodo anabikiri wengineAcha uoga mkuu
Ex wako aliyekubikiri yupo wapi kwa muda huu?
Yupo Mwisho wa nyodo anabikiri wengineAcha uoga mkuu
Ex wako aliyekubikiri yupo wapi kwa muda huu?
Waziri kivuliYupo wizarani ni waziri
Mzee mamaYupo Mwisho wa nyodo anabikiri wengine
Mbaya zaidi ni sehemu tunazosiskia tuliopo bush..Mzee mama
Umejibu kama madada wa Temeke , Mbagala au Yombo
Upo Tocha ?Mbaya zaidi ni sehemu tunazosiskia tuliopo bush..
One more thing usitegemee kujibiwa unavyotarajia
BundasligaUpo Tocha ?
Haina kwerreeeBundasliga
AmaniHaina kwerreee
Umeuona wimbo wa Jux na Maua Sama ?Amani
Sema Mamndenyi
Dah!Demu wangu wa kwanza nikimwona huwa namkwepa demu mpambanaji sana anafanya biashara zake anapesa now yaan pesa ipo nilimwacha kizembe sana yule manzi najuta mi sina pesa km yy kanizidi kila kitu mpaka naona soo ku met nae da nililamba garasa nilifanya usajil mbovu sana wajanja wameoa na watoto tayar kapata mi ndio hivo tu napambana kutafuta
Hii kuonekana mnyonge ni wewe umetengeneza tu ndani ya mindset ila unaeza kuta wala haipo hivyo na anataman siku moja msalimiane..hlf acha uwogaNamba yake ishafungiwa nida walifanya yao japo kwao napajua ila kwenda naona jau af ataniona mnyonge so nishampotezea saiv namahusiano yangu mapya hope nayeye anayo pia tho last time nawasiliana nae alinilalamikia kua jamaa alonae hamtreat vzr kama mm sa sijui kama bado wapo nae.
We ni me au keHuyu binti alikuwa anaitwa Siwazuri
Alinitoa bikra yangu huyu kiumbe na kunifundisha namna ya kushurutisha mwnamke kitandani ilikuwa ni theory na practical za kula bumunda alinipa elimu ya kupiga mipigo ya kudeal na mlokole, kahaba, good girl na tomboy.
Alinifundisha mema na mabaya Mpaka nikamaliza darasa la saba sec tulipotezana wakat kamaliza fomu four alienda Mwanza huko.
Imepita miaka mingi bila kumuona Siwanunu wangu.