Utakuwa domo zegeDemu wangu wa kwanza ndo mke wangu wa ssa
Hamna mkuu ni upendo tu wa dhati c unajua mtu akipata size yake lazma atulieUtakuwa domo zege
Hehe..Siyo kwamba ni kupasha viporo, ni basi tu nimeamua kumkumbuka kwa taswira ya fikraWappenda kupasha viporo utawajua tu
Mkuu hapanaDadeeki nitumie hio account nikaone mzigo wako bloo