Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Wakuu Salaam;

Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.

Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.

Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.

Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.

Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.

Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.

Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k

Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.

Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Hapo unatamani kazi na kipato chake... Unamuonea wivu mwanaume mwenzio aliyekubali kujitwisha majukumu ya kumuonesha upendo wa vitendo, eti ana kazi ya kawaida... hopeless kabisa
 
Mkuu si wivu mbn nimesema tangu awali au pengine angle of perspectives are different
 
Daa mary wangu yupo zake huko Bongo daslamu amolewa na chalii fulani anafanya kazi airport,sigku ya harusi tu akampa zawadi ya gar mark X wakati mlume nilikuwa ninetoa sana nimempa kitu cha kaki au ten

Ila namshukuru kwa kunipa bumunda kirohoo safi
 
Demu wangu wa kwanza nikimwona huwa namkwepa demu mpambanaji sana anafanya biashara zake anapesa now yaan pesa ipo nilimwacha kizembe sana yule manzi najuta mi sina pesa km yy kanizidi kila kitu mpaka naona soo ku met nae da nililamba garasa nilifanya usajil mbovu sana wajanja wameoa na watoto tayar kapata mi ndio hivo tu napambana kutafuta
 
Wakuu Salaam;

Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.

Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.

Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.

Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.

Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.

Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.

Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k

Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.

Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Naona unavyoitolea macho "kazi yake nzuri tu"
 
Mjulie hali bwana saiv mtandao mingi..au hutaki kukaa karibu na muwa, utaula
Namba yake ishafungiwa nida walifanya yao japo kwao napajua ila kwenda naona jau af ataniona mnyonge so nishampotezea saiv namahusiano yangu mapya hope nayeye anayo pia tho last time nawasiliana nae alinilalamikia kua jamaa alonae hamtreat vzr kama mm sa sijui kama bado wapo nae.
 
Wakuu Salaam;

Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.

Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada ya yeye kumaliza kidato cha sita na mimi kwenda Chuo. Alikua akisoma huo ukanda ulipo mkoa wa Dar Kwa upande wa elimu ya sekondari ngazi ya A level.

Baadaye alichaguliwa kwenda Chuo morogoro maana aliniambia hadi fani aliyochaguliwa kwenda kusoma. Kwa kipindi tulichoachana hakukua na mawasiliano ya karibu tena.

Mwaka huu 2020 niliambiwa na rafiki yake kwa sasa yuko Dar na ameajiriwa na kampuni moja hivi kwenye kitengo kizuri tu. Kuna Nickname alikua akiipenda sana nimwite hivyo nimemtafuta instagram nimempata na kuona picha zake. Binafsi nimeshawishika sana kurudiana naye sema kwa sasa haiwezekani maana tayari kaolewa na ana watoto watatu.

Mme wake ana kazi ya kawaida tu hapo mjini ila huyo dada ndiyo ana kazi nzuri.

Niko nabungaa tu sahivi, sijajaribu hata kumtafuta kupitia instagram nimsalimie zaidi ya kucheki posts zake. Kuna siku niliona kaposti yuko na mmewe na watoto wao, nilikula kwa macho tuu.

Wakati mwingine naona posts yuko kwenye seminars, vikao mbalimbali n.k

Huenda tungekua mbali kimaisha kama tungekua pamoja. Nalolitambua ni kua kwenye maisha hamna haja ya kulalamika au kuhuzunika. Ni kuchukua ustaarabu tu.

Vipi upande wako, unafahamu alipo mpenzi wako wa kwanza kwa sasa na ungetamani kurudiana naye?
Mie sifahamu mpenzi wa kwanza kugegedana ambapo tulivunja chaga hadi kuhamia chini, nilimpenda sana sijui yuko hai sijui alipotelea wapi!!??
 
Sijui yupo wapi siku hizi.

Nilikuwa darasa la saba yeye form three miaka ya 2000 ndiyo nilianza michezo mibaya.

Huyu binti alikuwa anaitwa Siwazuri Bimkubwa alikuwa anamuita Siwanunu maana alihisi huyu mdogo wa mpangaji wake kwa ukaribu nilionao atanifundisha mchezo mbaya wakati tunazuga na tuition ya hesabu. Maana alikuwa mbaya sana wa namba na alikuwa anasoma shule ya wenye akili pale mkoani.

Alinitoa bikra yangu huyu kiumbe na kunifundisha namna ya kushurutisha mwnamke kitandani ilikuwa ni theory na practical za kula bumunda alinipa elimu ya kupiga mipigo ya kudeal na mlokole, kahaba, good girl na tomboy.

Alinifundisha mema na mabaya Mpaka nikamaliza darasa la saba sec tulipotezana wakat kamaliza fomu four alienda Mwanza huko.

Imepita miaka mingi bila kumuona Siwanunu wangu.
 
Back
Top Bottom