mwasita
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 371
- 374
Mimi pia nduguye na AntetokounmpoInategemea na suruali ya rangi gani siyo unavaa rangi ya kijani,nyekundu afu panaa kama kibanda cha mpesa aargh😀
Mkaka avae shati jeupe/bluu bahari na suruali nyeusi/dark blue dah! Hata mahari utapunguziwa mkuu atente😂
Hapo kwenye combination ya namna ya kuzipangilia suruali na shati ina matter pia katika kuongeza umaridadi na nakubaliana na wewe kwa rangi ulizopendekeza.