Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

Inategemea na suruali ya rangi gani siyo unavaa rangi ya kijani,nyekundu afu panaa kama kibanda cha mpesa aargh😀

Mkaka avae shati jeupe/bluu bahari na suruali nyeusi/dark blue dah! Hata mahari utapunguziwa mkuu atente😂
Mimi pia nduguye na Antetokounmpo

Hapo kwenye combination ya namna ya kuzipangilia suruali na shati ina matter pia katika kuongeza umaridadi na nakubaliana na wewe kwa rangi ulizopendekeza.
 
Napenda skin tight ndefu ...Seema tu siwezi vaa nkatembea kwa Barabara..

Hizo high waisted naonaga wadada wanachomekea WENGINE wanavaa na croptop
Skin tight?siwezi pia kuvaa skin tight nikatembea nayo nje....labda skin jeans

High waisted navaa na crop top,sipendagi kuchomekea
 
Mimi pia nduguye na Antetokounmpo

Hapo kwenye combination ya namna ya kuzipangilia suruali na shati ina matter pia katika kuongeza umaridadi na nakubaliana na wewe kwa rangi ulizopendekeza.
Wow utakua gentleman pia kama atente eeh Safii, nguo yoyote inaweza mpendeza mtu ili mradi ajue tu kupangilia rangi na size. Zile rangi kali sanaa aarh si nzuri. Pia size izingatiwe zisiwe za kubana sana ama pana.
 
Hivi wake zangu wanaingia katika hii kadhia, ya "Mpenzi" ? Maana nisije nikakosea njia hapa.
 
Wewe utakua ni mzee mwenzangu pia! Ila ukiwaangalia vizuri hao wanaovaa hivo utanotice kitu ni kama wadada wa mjini hivi na kama hawatokei buza wale sijui
dada wa mjini lazm ahakikishe hapitwi ndg yng, sie wengine tukae kando kidogo
Nasema uongo mzee mwenzangu!?
 
Mama yangu Alikua anapenda baba Akivaaa msuli...akatulia kwenye Kochi akiacha kitambi chake wazi..

Nimekumiss my father. (mola ukuwie radhi)
 
Back
Top Bottom