Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..

Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa baby wako na hata kama hajawai kuvaa ivyo basi unatamani siku moja avae namna hiyo?

Mimi binafsi baby wangu akiivalia skin jeans tumboni najisikia muruaaa kabisa yani napenda avae kuanzia tumboni na sio kiunoni...yani nikipishana na manzi kaivalia skin jeans tumboni lazima nimsemeshe kitu yani najikuta tu nimempenda ghafla

View attachment 1675522
Mimi napenda akivaa wigi,nachoka kabisa
 
Kila mtoko (eneo) na nguo zake,
Mwanamke mzuri anapendeza tu yani hata kwenye dela hadi raha.
And Bang!

Bibi yangu ashawahi kusema "mwanamke mzuri hata akivaa gunia la mpunga anapendeza"
 
Aaah mie mwanaume akivaa hivi ananimaliza alafu awe na katako ka uchokozi 😂. Afu mwanaume kunukia ni muhimu.
 

Attachments

  • 567D45A5-C317-45F4-BC9A-F6F1AF292ACD.jpeg
    567D45A5-C317-45F4-BC9A-F6F1AF292ACD.jpeg
    156.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom