Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,825
[emoji23][emoji23]Nami sipo mbali na haya maswala,si unajua ndo yanayotutolea stress??Na wewe??[emoji28][emoji28][emoji1635][emoji1635]
[emoji23][emoji23]Nami sipo mbali na haya maswala,si unajua ndo yanayotutolea stress??Na wewe??[emoji28][emoji28][emoji1635][emoji1635]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Jamani Leo nimeona mdada mwembamba Sana...kavaa kagauni kamebana Sana. ..na vimiguuu vyembaba Sana...Na kidemu chako ndio hicho kifimbo!?
Kwahiyo wewe ni chura[emoji23][emoji23][emoji23] unataka chura tu. Pooh mbaka.[emoji23][emoji23]Nami sipo mbali na haya maswala,si unajua ndo yanayotutolea stress??
[emoji23][emoji23]..Sipendi chura kihivyo ila mwanamke wangu ni lazima awe na figure flani hivi akijifunga kanga impendeze.Kwahiyo wewe ni chura[emoji23][emoji23][emoji23] unataka chura tu. Pooh mbaka.
Huwa nikionaga neno chura najisikia kucheka kufaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi. Kama itumbure la mgomba tuu hili[emoji23][emoji23]..Sipendi chura kihivyo ila mwanamke wangu ni lazima awe na figure flani hivi akijifunga kanga impendeze.
Najua figure hiyo unayo kabisa.
[emoji23][emoji23]unglembaaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah wapi. Kama itumbure la mgomba tuu hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngife kfuru[emoji23][emoji23]unglembaaa..
Ulae ushaa.
Wale wadada wenye visendo vya manyoya na simu-kava za midoli![emoji39][emoji97]
Mkuuu...ukiona unashangaa Mambo ya vijana...Ukae TU kwa kutulia..mitazamo kubadilika...huchangiwa na umri pia ..Hivo visendo vimenishinda kabisa sijui ni uzee unakaribia[emoji3][emoji3]
Hivo visendo vimenishinda kabisa sijui ni uzee unakaribia[emoji3][emoji3]
Avatar Yako tu[emoji41]Hivo visendo vimenishinda kabisa sijui ni uzee unakaribia[emoji3][emoji3]
Kwakweli utu uzima dawa! Basi nikiviona hivo visendo huwa nasema hiii siwezi vaa aisee na tule tubegi tudogo twa mgongoni😀 ila wanaovaa wanapendeza vizuri tuuMkuuu...ukiona unashangaa Mambo ya vijana...Ukae TU kwa kutulia..mitazamo kubadilika...huchangiwa na umri pia ..
Avatar ina nini mkuu?Avatar Yako tu[emoji41]
Kwakweli nishakosa babe hivi hivi! Vipi tunaovaa mabuti hutupendi hata kidogo?Basi huna bahati, songa mbali nami!
Mimi ninaevaa surual ya kitambaa na mashati nishakukosa....Napenda mkaka avae tishirt na jeans hivi ama Cadet dah namuona smart kinoma[emoji8]