Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
....Doooh namimi ntashona
Skirt rangi gani mkuu
B
[emoji3][emoji3][emoji3]....Doooh namimi ntashona
Skirt rangi gani mkuu
Dark blue mkuu,ila usisahau kuachisha vishkizo viwili kutoka juu
 
Kwakweli utu uzima dawa! Basi nikiviona hivo visendo huwa nasema hiii siwezi vaa aisee na tule tubegi tudogo twa mgongoni[emoji3] ila wanaovaa wanapendeza vizuri tuu
Doooh...yaani Mimi hivyo vibegi vya mgongoni...navionaga TU wanavaa...Nawaangalia TU...KWELI wanapendeza Sana...
 
Tukiwa nje akitupia jalabiib na niqab mimi hoi, ndani napendelea atupie khanga moja kifuani au imelegezwa kiunoni, surual tight au kigauni tight mwil kiishie magotini(hayo mambo ni ya ndani)
 
Mi napenda mke wangu akivaa lingerie, yaani ntadindisha mpaka kupasuka, aisee.
 
Minadhani kungekuwa na vazi lafanana na walleti Lingempendeza ZAIDI...au vazi lafanana na Yale Magari yanayobeba mishahara...
.
Hizi jeans zake za Cadeti mi Wala hazinishtui...
Yule mzee baba ambae alikua hapokei sim zako Anafanya kazi SGA nn
 
Inategemea na suruali ya rangi gani siyo unavaa rangi ya kijani,nyekundu afu panaa kama kibanda cha mpesa aargh[emoji3]

Mkaka avae shati jeupe/bluu bahari na suruali nyeusi/dark blue dah! Hata mahari utapunguziwa mkuu atente[emoji23]
Hahahaha...asee kweli umaridadi unafanya mtu upendwe [emoji119][emoji119]
 
Inategemea na suruali ya rangi gani siyo unavaa rangi ya kijani,nyekundu afu panaa kama kibanda cha mpesa aargh[emoji3]

Mkaka avae shati jeupe/bluu bahari na suruali nyeusi/dark blue dah! Hata mahari utapunguziwa mkuu atente[emoji23]
Hupendi rangi za kung'ara mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom