Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

Mimi kama mimi,
Navutiwa sana na msichana anaevaa skirt, na gauni za kisasa rangi ziwe za pink ama rangi za kike(maua maua).

Napenda mpenzi wangu avae chupi zile za net, yaan inakua na matobo flan hiv, asiwe na mzigo mkubwa sana afu akiivaa kidogo kwa mbali iingie ndani, rangi pink, nyekundu nyeupe au nyeusi, afu haiba ya kike iwepo, aiseh naweza fungua kanisa niwe mchungaji nitoe ushuhuda na wana wa israel waamini na kumrudia muumba wao kabla ya siku za mwishojoke
 
Back
Top Bottom