Mpenzi wako anakuvutia akivaa vipi?

Hizo mie unisismua balaa...ukute na mrembo ananthicknthighs that make the d.ck rise na booty yenyewe hadi raha.

Sana akae ile style ya mbuzi kagoma kwenda alafu uanze kumvua na awe amevaa ile thong....utabaki kusema toba yalaaa tako limevaa lapa🤣🤣🤣🤣🤣
Heehe nilijua tu
Mana we nae kwa chiuu hujambo😅
 
Minahisi kurogwa... Kila nikimwangalia mpnz Wangu nazidi kumuona mzuri...

Yaaani daaah
Sijui yeye ananionaje.... Sijui anaona Kama Mimi...
Namuona mzuri wallahi mwanaume yule
 
Unamuona mzuri si kwa sababu unamchuna hela ngoja siku awe hana kama utamuona mzuri
 
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..

Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa baby wako na hata kama hajawai kuvaa ivyo basi unatamani siku moja avae namna hiyo?

Mimi binafsi baby wangu akiivalia skin jeans tumboni najisikia muruaaa kabisa yani napenda avae kuanzia tumboni na sio kiunoni...yani nikipishana na manzi kaivalia skin jeans tumboni lazima nimsemeshe kitu yani najikuta tu nimempenda ghafla

View attachment 1675522
Hahahaha htr xana
 
Nyota njema huonekana asubuhi...
IMG_6177.jpg
 
Minahisi kurogwa... Kila nikimwangalia mpnz Wangu nazidi kumuona mzuri...

Yaaani daaah
Sijui yeye ananionaje.... Sijui anaona Kama Mimi...
Namuona mzuri wallahi mwanaume yule
Ni yule aliyekuwa hapokei simu zako usiku au ulibahatika kupata mwingine?
 
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..

Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa baby wako na hata kama hajawai kuvaa ivyo basi unatamani siku moja avae namna hiyo?

Mimi binafsi baby wangu akiivalia skin jeans tumboni najisikia muruaaa kabisa yani napenda avae kuanzia tumboni na sio kiunoni...yani nikipishana na manzi kaivalia skin jeans tumboni lazima nimsemeshe kitu yani najikuta tu nimempenda ghafla

View attachment 1675522
Mi kwetu siruhusiwi lakini boyfriend wangu anapenda nivae kimini au skin jeans lakini mi mavazi hayo sijazoea nmezoea magauni marefu au sketi na ushungi.
 
Napenda skin tight ndefu ...Seema tu siwezi vaa nkatembea kwa Barabara..

Hizo high waisted naonaga wadada wanachomekea WENGINE wanavaa na croptop
Hata mimi siwezi ila ndoivo kwa mgano huku kwetu ukivaa suruali ukipita njiani unatazamwa sana na unasemwa kabisa yani
 
Kila mtu anavutiwa na baadhi ya fasheni hasa pale umpendae anapovaa basi roho inajisikia muruaaaa kabisa kiasi cha kwamba unatamani hata umtongoze tena..

Ni vazi gani linakuvutia zaidi akivaa baby wako na hata kama hajawai kuvaa ivyo basi unatamani siku moja avae namna hiyo?

Mimi binafsi baby wangu akiivalia skin jeans tumboni najisikia muruaaa kabisa yani napenda avae kuanzia tumboni na sio kiunoni...yani nikipishana na manzi kaivalia skin jeans tumboni lazima nimsemeshe kitu yani najikuta tu nimempenda ghafla

View attachment 1675522
Kipindi cha mapenzi moto moto mchuchu akivaa hivo alafu anakuja kwako, yaani inakuwa burdan lakini wengi wao wanaume ambao wakishaoa tu nguo kama hizo marfuku kuvaa eti sio za heshima. Ni mwendo wa madela, sketi blauzi au magauni.
 
Back
Top Bottom