😂😂😂😂Na kwenye ndoa zenu kuna watoto wao..
Mbona umeandika kwa kujiamini kiasi hiki,umeshamzawadia mumeo toto la workmate wako nini?Na kwenye ndoa zenu kuna watoto wao..
Sio wote wengine wana misingi ya maadili imara hivyo KAZI inakuwa baraka kwa NDOA yake na sio laanaNa huo ndio ukweli na hakuna kitu utamfanya
Ukimkuta hivyo utafanyajeHii ni kwa wale wasioelewa lugha ya maandishi au wanaotaka kuona vyoteView attachment 3404466
Wewe ni njia Moko tu hauna michepuo...Mie mgeni maeneo hayo🤣🤣🤣