Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,304
- 183,201
Mi wa kazini sinaaa.
Kama yee anaye Atajua mwenyewe as long as kila siku anarudi home naikeshea
Mi wa kazini sinaaa.
Mbona... Hahaha 🤣 😂Mi wa kazini sinaaa.
Kama yee anaye Atajua mwenyewe as long as kila siku anarudi home naikeshea
Ni kuachana tu na huyo malaya maana hata ukisema umpasue kama kugongewa umeshagongewaUkimkuta hivyo utafanyaje
Msamilie wako wa kaziniiii😛😁😁😁!Mbona... Hahaha 🤣 😂
Akitokea ambae siyo bahili fresh tu...Hakuna🤣🤣😂😂wabahili wale. Home kumenoga
Ntampata bungeniEvelyn Salt mpenzi wako wa kazini anaendeleaje?
Sina sababu unaijua...Msamilie wako wa kaziniiii😛😁😁😁!
Akitokea ambae siyo bahili fresh tu...
Bungeni nimebaki mwenyewe huna option sijui utafanyaje...Ntampata bungeni
Ngoja tuone...Aaah wapi hawezi zidi wa home maana ni full droo kujichotea tu
Weeee wale wanaokurembuliaga macho nakujilegeza 🙄🙄😏😏😁😁😁!!Sina sababu unaijua...
Huwezi kula kondoo wako mwenyewe...
Nimeokoka na nampenda Yesu, hizo ni dhambi...Weeee wale wanaokurembuliaga macho nakujilegeza 🙄🙄😏😏😁😁😁!!
Kondoo akiingia 18 analiwa vizuri tu . Kula mema ya duniaaaaaaa🤭
Umeokoka Since when who which!!Nimeokoka na nampenda Yesu, hizo ni dhambi...
Amen nimebarikiwa...Umeokoka Since when who which!!
Glory be to God!
Hallelujah
Hiki ni kichaka,kusema SIYO WOTE,my friend huyo unayeona siyo mmoja wao,ukisanitize simu yake,hutaamini.Sio wote wengine wana misingi ya maadili imara hivyo KAZI inakuwa baraka kwa NDOA yake na sio laana