Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 419
- 828
Hiki ni kichaka,kusema SIYO WOTE,my friend huyo unayeona siyo mmoja wao,ukisanitize simu yake,hutaamini.
Ulimwengu haujafika pabaya kiasi hicho ndugu yangu... Nakubaliana na Fikira zako na ni Kweli asilimia kubwa ya wanawake walioajiriwa ni changamoto katika mahusiano na hata NDOA ila wapo wenye misingi imara ya maadili hawatendi uchafu wa aina yoyote sio ngono tu