Kwa sie wenye mashosti kuna hatari kama shiogako amekuwa akimmendea shem wake basi ah anaomba simu atume sms kwa ndugu yake kumbe anatafuta namba ya mr wako.
shauri yako.....hahaaaaaaaa
biggy hivi mama Matesha akiona umemsevu kam Zombe wat wil b ze justification????
Kwanza ajaribu aone cha mtema kuni, ila mie nimekuta kani-save My XXL sijui ni manyama uzembe yamenizidi
Hebu ni-PM tutete.
Hebu ni-PM tutete.
weeeee Masaki usijifanye hujui!!!! ataaanza tu oooh shem hivi shem vile. mara btw nimekumis shem wangu ....sijui ninii niniiii.......
hahaaaa here we go!!!
Ungeanza kumPM wewe kwa vile ndio unataka kuteta.
Okay sasa nimeshajua, kwa hiyo nikipata vijimeseji vya aina hiyo toka kwa shemeji yangu basi nielewe kuwa ananitaka...!!! Duh! Aisee mimi kumbe bado mgeni na mambo ya hapa mjini!! Ndio tabu ya kukulia Kilosa!
Mmmhh!! Halafu anaanzaje kumtongoza mume wa shosti wake?
sheji nimekumis jamani!!!! shemeji leo wapi?? ......inahusu!!! si amuulize mkeo ndo shoga yake!!!
Mbwa kaingia msikitini. LOL!
Ombi apewe mwingine masharti atoe mwingine.
hahaaaa kwenda zako!!!! afu mafuriko huko sijui umeshaenda kuwaona wazee!!! mwenzio wikend nlikua huko!!!
sheji nimekumis jamani!!!! shemeji leo wapi?? ......inahusu!!! si amuulize mkeo ndo shoga yake!!!
vere simple shemeji shemeji zinakuwa nyingi sana
vere simple shemeji shemeji zinakuwa nyingi sana
vere simple shemeji shemeji zinakuwa nyingi sana
Dah napatwa na kawivu mimi sijui nifanyaje kwa nini unaunanga mtima wangu?
Ndio maana mimi huwa nasema mara nyingi ukiona mtu na shemeji yake wameonjana basi mara nyingi mwanamke ndiye huwa anakuwa kaanzisha mitego!Na wanaume wengi ni wadhaifu sana linapokuja suala la kutegwa na mwanamke! Take my words!